chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Hii mali binafsi ya Mzungu inaisha lini? Mzungu anawadanganya anajenga city kumbe apartments na godown kwaajili ya wazungu wenzieTatu City Godowns
Tatu City Industrial Park
Tatu City Mansions
Hiyo Dege Eco ya Mturuki inaisha lini?Hii mali binafsi ya Mzungu inaisha lini? Mzungu anawadanganya anajenga city kumbe apartments na godown kwaajili ya wazungu wenzie
una uhakika kuwa alikuwa anafikiria hivyo?Mbona Putin ambaye alidhani atachukua Kiev ndani ya siku mbili ameshindwa kufanya hivyo?
"The unaudited financial results" anyway, do you know how much our biggest banks generate semi annually?Geza Ulole ichoboy01 Kenya ni uchumi wa makaratasi kweli. Kengen inatengeneza revenue nyingi kushinda biggest bank in Tanzania.
Putin kulingana na intelligence ya USA ni kwamba alikuwa amepanga kufanya kitu kinachoitwa Blitzkrieg. Yaani vita ya haraka haraka inayompata adui kama hayuko tayari. Kama vile Germany walivyoifanyia France in World war 2. France ilianguka chini ya wiki moja unusu.una uhakika kuwa alikuwa anafikiria hivyo?
vita siyo mchezo wa kula githeri nakuanza kuharisha baada ya tumbo kuvurugika,vita ni process pia vita ni betting mzee vita ni Risk ,
UKRAINE siyo mkoa wa square mita 100,ukasema unaingia dk zero na kutoka,otherwise utumie mashambulizi ya anga mwanzo mwisho bila kuangalia raia wala chochote tena hapo unaopambana nao uombee wasiwe hata na siraha yeyote ya kujibu mashambulizi
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Lakini hii vita haijamaliza wiki moja na nusuPutin kulingana na intelligence ya USA ni kwamba alikuwa amepanga kufanya kitu kinachoitwa Blitzkrieg. Yaani vita ya haraka haraka inayompata adui kama hayuko tayari. Kama vile Germany walivyoifanyia France in World war 2. France ilianguka chini ya wiki moja unusu.
Net interest income ya Crdb in 2020 ilikuwa Tzsh569 billion ambayo ni takriban Ksh 27 billion. Hio imeishinda ksh 24 billion ya Kengen kidogo sana. Soma report ya Crdb niliyoattach hapo chini."The unaudited financial results" anyway, do you know how much our biggest banks generate semi annually?
Dege ya mturuki? 😂😂😂😂😂Hiyo Dege Eco ya Mturuki inaisha lini?
Kulingana na intelligence ya Marekani Putin aliipuzilia mbali Ukraine na alipanga kuiangusha chini ya siku tatu. Hio ndio maana aliattack kutoka directions tatu, kaskazini, kusini na mashariki. Lakini hizo axis zote zimekwama hakuna hata moja ambayo imeweza kuingia ndani ya Ukraine kwa sana. Sasa Putin ameamua kutupa missiles na makombora kwa hizo cities ili kuuwa civilians kwa maana ya kuwatoa hari ya kupigana. Anataka kuwatishia waache kupigana. Anarusha makombora kwenye nyumba za watu na kuuwa raia. Lakini raia wa Ukraine bado wana hamu ya kupigana na kuiokoa nchi yao.Lakini hii vita haijamaliza wiki moja na nusu
Kuna mall ya mahana Tanzania kilaza 😅kiosk unaita mall! Hell no!
Maana yake kwa miezi 12 ni billion 42? Mbona ndogo sana hii?Geza Ulole ichoboy01 Kenya ni uchumi wa makaratasi kweli. Kengen inatengeneza revenue nyingi kushinda biggest bank in Tanzania.
Iko wapi Bagamoyo Port ndio uruke ruke kama mwendazakehio yenye project kubwa ni over 14 yrs sasa leo ndio hchi wamefanya 😂😂😂👇👇
View attachment 2136211
Kwahiyo Kengen inaingiza kama Tzs 800bn kwa mwaka wkt Tanesco inaingiza zaidi ya Tzs 1.4 trillion per annum.Maana yake kwa miezi 12 ni billion 42? Mbona ndogo sana hii?
Tanesco inaingiza zaidi ya trillion 1.4
Edit: mwaka jana Tanesco imeingiza 1.8 trillionMaana yake kwa miezi 12 ni billion 42? Mbona ndogo sana hii?
Tanesco inaingiza zaidi ya trillion 1.4
Tanesco inaingiza 1.8 trillion 😂Kwahiyo Kengen inaingiza kama Tzs 800bn kwa mwaka wkt Tanesco inaingiza zaidi ya Tzs 1.4 trillion per annum.
meanwhile the largest mall in the republic of Tanzania😄kiosk unaita mall! Hell no!
Yaani Wakunya wanasema wametuzidi kwenye umeme wakati Bill yao ya mwaka ni ya miezi mi3 kwa Tanzania, kweli Ukiwa muongo uwe na kumbukumbuTanesco inaingiza 1.8 trillion 😂
Hizo case zote umetaja hapo, hazifananishiki kabisa Kati ya sisi na nyinyi.. ipo hiv km of paved roads in tz ni nyingi kuliko nchi yoyote ukanda huu, ndio maana biashara ya mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kwa hapa bongo ni kubwa kuliko nchi yoyote, lakini moja ya sababu ni kuwa na barabara zinazopitika vizur nchi nzima .. uko kwenu ni upuuzi mtupu we all know