BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Nyinyi ata a simple neighborhood kigamboni satellite images zinaonyesha hakuna lami, mnatarajia aje kuwa na more than 13k kilometers of tarmac!!!Hizo case zote umetaja hapo, hazifananishiki kabisa Kati ya sisi na nyinyi.. ipo hiv km of paved roads in tz ni nyingi kuliko nchi yoyote ukanda huu, ndio maana biashara ya mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kwa hapa bongo ni kubwa kuliko nchi yoyote, lakini moja ya sababu ni kuwa na barabara zinazopitika vizur nchi nzima .. uko kwenu ni upuuzi mtupu we all know
Zinaitwa Dream Houses za Dar. π€£π€£π€£Mbona surrounding areas inafanana darfur or kakuma refugee camp
Mwambie aende Greatwall Gardens aangalie surrounding areas kama barabara ni vumbi. π€£π€£Nyinyi ata a simple neighborhood kigamboni satellite images zinaonyesha hakuna lami, mnatarajia aje kuwa na more than 13k kilometers of tarmac!!!
kwani hujuhi Kenya ndio imeshikilia uchumi wa Tanzania π from Banks to companiesacha sasa kukasirika kwani hatujui uchumi wenu umeshikwa na foreign investors π€£π€£ ndio munaishi kwenye slums hata nguruwe hawezi pona
Wewe endelea kutetea huyu jambazi shetani. Putin anastahili kupigwa risasi na kuondolewa duniani.usiseme ujinga wa putin sema ujinga wa marekani na washirika wao ndio chanzo cha vita vyote ulimwenguni kote
Mmeona jinsi Tony alivyo msahaulifu? Tayari keshasahau kwamba wabunge wao wameshakuja huku kujifunza ktk miradi ya kimkakati hususan Dodoma, huyu Tony ni kiumbe msahaulifu sn.Hahaha. Sawa hutawahi kutuona tumekuja huko kujifunza chochote. Nchi nyingi za Afrika zimegundua kwamba Mombasa port ipo mbele yao na wanakuja kujifunza ikiwemo hata Gambia ambao walikuwa Mombasa port wiki uliopita.
Leta housing project pekeee.yenye iko on paper alafu kwa ground πmm narudia kukwambia kigamboni kuna projects nyingi sana zilizo kamilika na zinazoendelea kujengwa achia mbali project za private sector ndio usiseme π€£π€£π€£
Walienda Dodoma hawakuenda Dar es Salaam port.Mmeona jinsi Tony alivyo msahaulifu? Tayari keshasahau kwamba wabunge wao wameshakuja huku kujifunza ktk miradi ya kimkakati hususan Dodoma, huyu Tony ni kiumbe msahaulifu sn.
Nilitaka nikaweke hako kamradi ka Great wall Garden sema nilijua tu huwezi kumuacha mana nilijua kwa kawaida ukiona mkunya haweki picha za juu ujue kuna kitu anaficha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hako kamradi ka apartments za great wal si haka hapa [emoji116]View attachment 2136139kapo katikati ya industrial area [emoji23][emoji23][emoji23] Dah noma sana .. unataka kulinganisha na dege ecco village Kigamboni, unakichaa wewe NairobiWalker.? Eti are you crazy or something.? Tony254 njoo ucheke na hapa .. wazee wa kujigamba [emoji23][emoji23]
na wewe umesahau Yule mbunge wenu alisema mnataka kushindana na Kenya na mko na vierani tano alafu mnasema eti mko na viwanda? Tena kwa bungeπMmeona jinsi Tony alivyo msahaulifu? Tayari keshasahau kwamba wabunge wao wameshakuja huku kujifunza ktk miradi ya kimkakati hususan Dodoma, huyu Tony ni kiumbe msahaulifu sn.
Tatizo lako wewe huwa una hasira sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akili kidogo kama ya panya
Refer to ;
USA to Russia
Kenya to Ethiopia
South Africa to lybia
Germany to Australia
Mauritius to Malawi
Kenya to Somalia
List is endless
Mwache UJINGA.mnaaibisha nchi.
Weka picha ya juu sasa unaogopa nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usituonyeshe hiyo video ya renders boss, tuonyeshe the real project on ground.
Hiyo Google image ya Tatu hujaonyesha hata 10% ya Tatu City yet mimi nimekuonyesha 100% ya Dege.
Sahii tunapoongea, Tatu ina -
1. Apartments
2. Mansionettes
3. Mansions
4. Schools
5. Industries
6. Industrial Parks
7. Shopping Mall
8. Office Blocks
9. Hotel
Yet ujenzi hujafika hata 10%. Sasa ufananishe tuapartment twa Dege na City kama hiyo? Unaweza ukaishi Tatu, ufanye hapo kazi, ushomeshe watoto hapo na ufanye shopping hapo. That's the difference between a City and apartments.
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatu City Godowns
Tatu City Industrial Park
Tatu City Mansions
nikiwaambia ni zwazwa munielewe πππNa hako kamradi ka apartments za great wal si haka hapa πView attachment 2136139kapo katikati ya industrial area πππ Dah noma sana .. unataka kulinganisha na dege ecco village Kigamboni, unakichaa wewe NairobiWalker.? Eti are you crazy or something.? Tony254 njoo ucheke na hapa .. wazee wa kujigamba ππ
Ila siwaamini waarabu haswa nikiangalia uhasama wao wa kimadhehebu Yemen! Ni watu bado hawajajikomboka kifikra na hawajui kutofautisha biashara na udini! Hata mgogoro wa Somalia wako nyuma japokuwa 99% ya Wasomali ni Waislam! Nisingependa wa-control uchumi wetu, bora Mchina mara kumi haingilii mambo ya ndani ya kiutawala ya nchi!ngoja nikwambie kitu bro dunia hii pesa iko nchi za kiarabu yani asikudanganye mtu na watumiaji wa pesa dunia hii ni waarabu na bahat nzuri tanzania na nchi za kiarabu zina historia kubwa, tuombe Mungu ila mambo yatakaa vzr sana
libya, iraq etc hao mashetani wamatekani hawakua mashetani au sio , au ndio ule msemo vita viskie kwa mwenzako??Wewe endelea kutetea huyu jambazi shetani. Putin anastahili kupigwa risasi na kuondolewa duniani.