Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Una kichaa wewe
Miezi 10 iliyopita ilikua hivi
Samia ana miezi mingapi?
Ungemwacha tuu ajzime data
Una kichaa wewe
Miezi 10 iliyopita ilikua hivi
Samia ana miezi mingapi?
Ss uwakute wakijisifu utadhani wana helicopter 700[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo kwa akili yako ndogo kama piriton hayo majengo yamejengwa kwa miezi miwili na hapo bado Ndalichako anasema wangepaswa kuwa wamemaliza ujenzi.ana mwaka sasa!
😂😂😂😂😂😂 Kwenye hizo helicopters 60 toa zile zilikua zinadondoka kila weekend kama zina kifafaSs uwakute wakijisifu utadhani wana helicopter 700[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
More of mismanaged business..kampuni yako ikianguka hapo dar haimaanishi uchumi inaanguka especially if there are other similar companies rising at your decline.Economy on decline
mbona mifereji imekaa kibwegebwege? Kunyan standards?Western Bypass taking shapeView attachment 2134929
One of the good news ..ambayo nimeskia week hii..Vyuo vinavyofundisha skills ni muhimu sana kwa nchi inayotaka kukuza viwanda ..na uchumi wa viwanda
Mama anaupiga mwingi hapa na naziona zitakuwa za kisasa na kubwa ile mbaya zaidi ile ya VETA ya Mchina Chato!One of the good news ..ambayo nimeskia week hii..Vyuo vinavyofundisha skills ni muhimu sana kwa nchi inayotaka kukuza viwanda ..na uchumi wa viwanda
Hizi centre of excellence 4 Mwanza (Ngozi), NIT , DIT na nyingne Arusha zitakuwa muhimu sana ..Human Resource is one of the best investement any one can do
Aharakishe na yeye..hii project ya DIT ina mwaka sasa proposedMama anaupiga mwingi hapa na naziona zitakuwa za kisasa na kubwa ile mbaya zaidi ile ya VETA ya Mchina Chato!
Hawa Isuzu wanataka kila ishu inayohusiana na usafiri hpo Kenya wahusike wao, halaf sas hawana design nzuri.. Vitu wanavyotoa sas vnafanania vle vya miaka ya 80's[emoji23]BRT Buses in Kunyaland's standard!
![]()
Yamedondoka kama 20 hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye hizo helicopters 60 toa zile zilikua zinadondoka kila weekend kama zina kifafa
Huwa wanadai wana viwanda vya scania humu ndani sasa nashangaa mbona hawapewi hizi tender?Hawa Isuzu wanataka kila ishu inayohusiana na usafiri hpo Kenya wahusike wao, halaf sas hawana design nzuri.. Vitu wanavyotoa sas vnafanania vle vya miaka ya 80's[emoji23]
Tukitoa na nyingine ambazo zimefia workshop zinabaki 10 😂😂😂😂Yamedondoka kama 20 hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah wanadai bus za Scania znatoka kwao lakin ajabu zimejaa hku kuliko hko kwao.. Yan wanauza ktu wasichotumia[emoji28]Huwa wanadai wana viwanda vya scania humu ndani sasa nashangaa mbona hawapewi hizi tender?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukitoa na nyingine ambazo zimefia workshop zinabaki 10 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]