Wewe umeamua ku ignore all those ukaona civilian aircraft moja tu ๐ ๐ that's how ignorant you are na ndio maana hata hii forum ingawa mnajua facts hamwezi kuyakubali lolsasa pilot wa civilian aircraft wanawezaje kuwa compared na pilots wanaendesha attack helicopter? H215M Cougar and two H225M Super Cougar helicopters?
Upumbavu huo in true colours so ET hamna lady pilots dreamliners? Egyptair? Morocco Airlines?Wewe umeamua ku ignore all those ukaona civilian aircraft moja tu ๐ ๐ that's how ignorant you are na ndio maana hata hii forum ingawa mnajua facts hamwezi kuyakubali lol
And get it right, hakuna mama mwingine outside kenya in the whole Africa,anaye fly a B 787-8 dreamliner africa so hata iwe commercial,sio commercial ya kawaida
Sasa DRC wanaenda ku-invest nn zaidi ya Equity Bank? Maana Brookside wanaenda kushindana bumper kwa bumper na Asas na Bakhresa! Na Bakhresa wapo DRC kwa muda sasa!giant tuskys nae amekufa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Halafu hili kanisa lilifungwa kipindi cha JPM? Linamdharau mama au?What a fascinating article. Looks like the โchurchโ is a cult.
Mfalme Zumaridi ni nani?
Mfalme Zumaridi, mchungaji aliyeendesha ibada kwa kukanyaga migongo ya waumini wake
February 28, 2022
View attachment 2134521
Jeshi la Polisi jijini Mwanza linamshikilia Diana Bulamba maarufu โMfalme wa Zumaridiโ(39) mkazi wa Mtaa wa Buguku, Kata ya Buhongwa kwa tuhuma ya usafirishaji haramu wa binadamu 149 na unyonyaji.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ramadhan Ngโanzi, jana Jumapili alisema kuwa, tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 6:30 mchana katika Mtaa wa Buguku, Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana.
Alisema watu hao waliosafirishwa 57 ni wanaume na 92 ni wanawake, wakiwemo watoto 24 wenye umri wa miaka kati ya minne hadi 17 na wametolewa kutoka sehemu mbalimbali na kisha kuwafungia nyumbani kwake na kuwatumikisha.
โWatoto hao ni wale waliokatizwa masomo yao kinyume cha sheria na amekuwa akiwahadaa kuwa yeye ni Mungu anayeponya, kufufua watu na kutatua matatizo yao,โ alisema
Aidha Kamanda Ngโanzi alisema mtuhumiwa huyo alibainika baada ya Februari 23, mwaka huu polisi kupokea amri ya Mahakama ya Mwanzo Mkuyuni iliyowataka kumkamata mzazi wa kike wa mtoto Samir Abbas aliyetakiwa kufikishwa mbele ya mahakama hiyo baada ya kesi ya msingi kusikilizwa katika mahakama hiyo.
โKatika utekelezaji wa amri hiyo, polisi walifika nyumbani kwa mtuhumiwa Dianna Bundala ambapo ilidaiwa yupo mzazi wa kike wa mtoto huyo na mtoto aliyetakiwa kufikishwa mahakamani, lakini kwa mshangao mtuhumiwa akiwaongoza wafuasi wake waliwashambulia askari na kuwazuia kufanya kazi yao,โ alisema.
Baada ya tafrani hiyo askari polisi waliondoka eneo la tukio kwa nia ya kuepusha kutotumia nguvu ambayo ingeweza kusababisha madhara na baadaye Februari 26, mwaka huu walirudi nyumbani kwa mtuhumiwa huyo na kufanikisha ukamataji kwa mujibu wa sheria.
Hata hivyo upelelezi wa kina wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini kiini cha watu hao kukusanyika katika nyumba ya mtuhumiwa ambayo siyo ya ibada wala sehemu rasmi ya kongamano.
Je Mfalme Zumaridi ni nani?
Mwaka 2019 alijizolea umaarufu mkubwa kutokana na alivyokuwa akiendesha ibada huko jijini Mwanza tofauti na makanisa mengine yanavyoendesha ibada.
Aina yake ya uendeshaji wa ibada ulikuwa gumzo kwani Mfalme Zumaridi haamini katika aina yeyote ya dini hali inayoleta maswali hadi sasa.
Ana wafuasi wengi wanaomuamini, na wanamwamini `Mfalme Zumaridiโ kama mwakilishi wa Mungu duniani ama `Yesu Kristoโ wa duniani.
Wakati huo wafuasi wake hulala chini huku mchungaji wao akiwakanyaga na kupita juu yao, wakati mwingine waumini wa kanisa hilo pia huonekana wakigaragara kwenye matope ya majaruba ya mpunga jirani na kanisa lao kama moja ya ibada ikiwa ni ishara ya kumshughulikia shetani.
Hata hivyo baada ya kuonekana video mbalimbali za mahubiri yake kanisani kwake, Serikali iliingilia kati na ndipo ikachukua uwamuzi wa kulifungia kanisa la Mfalme Zumaridi, ambapo pia iliamuru kutofanyika ibada kanisani hapo wala nyumbani kwa Mfalme Zumaridi.
Hatua hii pia ilikua ni baada ya uchunguzi kubaini kuwa baadhi ya maneno na matendo yyalikuwa yakifanyika kanisani kwa Mfalme Zumaridi yalikuwa na athari na madhara kwa waumini na watu wengine pamoja na umnwepo wa malalamiko kutoka kwa wananchi na viongozi wa taasisi zingine za kidini kuhusu ukiukwaji wa sheria, maadili na imani ya kidini.
Kwani hicho kitendo kimelipiwa na serikali yetu [emoji15] ? Sawa kama kimelipiwa ni sh ngapi tuone kama ni sawa au ni ufisadi ? Maana kuitangaza nchi siyo kosa kuna nchi kama rwanda wanalipia kutangazwa hadi kwenye mipira ya ulaya kuvutia utalii na wawekezaji, tunataka fafanuzi kwenye ili jambonilitaka niseme hill, nikajua utakuja sema nina wivu na mama[emoji23][emoji23] anyway, anaupiga mwingi
Kama ujui kuwa hangaya na upumbavu wake wa kufungua nchi ndiyo alifungua huo ujinga wa huyo mchungaji kahhabaa kuanza tena upumbavu wake ,sa100Halafu hili kanisa lilifungwa kipindi cha JPM? Linamdharau mama au?
Umekuwa na mawazo kama yangu ila nilisita kutoa ya moyoni nisije onekana simpendi Sir Hundred ๐๐kwahiyo na sisi tumeenda kufanya huu upuuzi kulipia bendera imulike jengo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenifanya nichekeNa ndio una viongozi wengi Serikalini ambao ni top kuanzia VP hadi mawaziri na ma makatibu wakuu.
Una wasanii maarufu wengi,Wana michezo na wafanyabiashara lakini wote hawapendi kwao,wanajifanyaga wazalendo Sana.
Sahivi watz wameanza kupunguza kuuliza kwann MH anasafiri sana nje...watu walikariri mambo
Toka 2020 hiyo shule bado inajengwa tu? JPM angekua ingeshaisha, actually plan ilikua ni kujenga shule kama hiyo kila mkoa
VS
Jamani shule ya mfano ya serikali kwa kidhungu inaitwaje? Government design model school ? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hawajazoea gated communities Hawa.Is this the only real estate development in dar?
Halafu kuna hidden business ATCL wawachukue wa Ukraine waliokwama Zanzibar mpaka Poland halafu warudi na wanafunzi waliokwama na raia wengine wa East Africa . Waombe landing permit hii ni fursa ya kupata hela kwa ATCLWanafunzi wa kitanzania Ukraine wakielekea Poland, Serikali tumeni Dreamliner ikabebe Watanzania Poland
Economy on declinegiant tuskys nae amekufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
brookside itabakia kenya tu ila sio nje ya kenya ๐๐๐๐Sasa DRC wanaenda ku-invest nn zaidi ya Equity Bank? Maana Brookside wanaenda kushindana bumper kwa bumper na Asas na Bakhresa! Na Bakhresa wapo DRC kwa muda sasa!
sasa hivi yapo mkuu๐brookside itabakia kenya tu ila sio nje ya kenya ๐๐๐๐
yapo kwa mbali anaupinzani mkubwa kutoka maziwa ya tuzo huko kwao ๐คฃ๐คฃ๐คฃ na kuna maziwa ya uganda pia yanawaumiza kichwa sanasasa hivi yapo mkuu๐