Kigoma ndio mkoa wa mwisho kwenye kila kitu,ndio mnajenga barabara leo?hakuna umeme wa grid yani tabu tupu sasa unabisha nn hapoWacha majungu wewe projects za SGR na bandari na ukarabati wa meli lake Tanganyika zinafanyikia wapi?
Mkoa ndio upo under construction mnazidiwa na mikoa yote karibia kwa kila kituWacha majungu wewe projects za SGR na bandari na ukarabati wa meli lake Tanganyika zinafanyikia wapi?
Naona umeona utoe nyongo 😂😂😂. Fananisha na hapa 👇
pitia hapa uone ukweli !Mkoa ndio upo under construction mnazidiwa na mikoa yote karibia kwa kila kitu
mm sina muda wakuthibitisha hapa unless fungua uzi wa dar vs accra alaf uone sasa 🤣🤣🤣 nitag huko nitakuja na dozi kamiliAgenda ilikua fupi sana kama sio kweli thibitisha mkaaa kulialia tu
angalia geography ya kigoma alaf useme tena hzi kauli, au somo hilo pia ni mtihani bro 😂😂😂😂Kigoma ndio mkoa wa mwisho kwenye kila kitu,ndio mnajenga barabara leo?hakuna umeme wa grid yani tabu tupu sasa unabisha nn hapo
Hayo ni mawazo yako ukubali au ukatae haibadili kua Accra ni richer than darmm sina muda wakuthibitisha hapa unless fungua uzi wa dar vs accra alaf uone sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitag huko nitakuja na dozi kamili
ila hapa una agenda kama unataka kuondoa dhumuni la uzi huu ila haiwezekani bro trust me
hata mimi nitakuja!mm sina muda wakuthibitisha hapa unless fungua uzi wa dar vs accra alaf uone sasa 🤣🤣🤣 nitag huko nitakuja na dozi kamili
ila hapa una agenda kama unataka kuondoa dhumuni la uzi huu ila haiwezekani bro trust me
Hakuna sababu yyte ya maana utakayotoa hapa,Kigoma iliachwa nyuma miaka mingi bila sababu yyte ya msingiangalia geography ya kigoma alaf useme tena hzi kauli, au somo hilo pia ni mtihani bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimekwambia fungua uzi wa dar vs accra alaf nitag tutakuja huko 🤣🤣🤣 ila kwa uzi huu hatuwez kuvuruga na kuondoa dhumuni lolote kwasababu imetuchukua miaka 7 kutengeneza uzi huuHayo ni mawazo yako ukubali au ukatae haibadili kua Accra ni richer than dar
hehehe ndio maana namjibu hapahata mimi nitakuja!
nimekwambia fungua uzi wa dar vs accra alaf nitag tutakuja huko 🤣🤣🤣 ila kwa uzi huu hatuwez kuvuruga na kuondoa dhumuni lolote kwasababu imetuchukua miaka 7 kutengeneza uzi huu
Tena kwenye estates ndio tumepigwa sana inaonyesha unit 100 za hamidu hapa huna ata aibuNaona umeona utoe nyongo [emoji23][emoji23][emoji23]. Fananisha na hapa [emoji116]View attachment 2133974View attachment 2133977View attachment 2133980View attachment 2134004
labda nikuulize swali, dar na tanga ndio kuna bandari hvi unaeza jenga barabara kutoka kigoma kuja dar au dar kwenda kigoma ?Hakuna sababu yyte ya maana utakayotoa hapa,Kigoma iliachwa nyuma miaka mingi bila sababu yyte ya msingi
fungua uzi wake special mambo yoote utayajua huko trust me 😂😂😂Tena kwenye estates ndio tumepigwa sana inaonyesha unit 100 za hamidu hapa huna ata aibu
Embu lisome swali lako tena halielewekilabda nikuulize swali, dar na tanga ndio kuna bandari hvi unaeza jenga barabara kutoka kigoma kuja dar au dar kwenda kigoma ?
😂😂 Hizo units umempost wewe zinafika 100.?Tena kwenye estates ndio tumepigwa sana inaonyesha unit 100 za hamidu hapa huna ata aibu
Hii speed ya kutoa vibali vya ujenzi ndani ya hifadhi ipungue kidogo
Mradi wa Malagarasi hydropower na 400kv grid pia SGR to Kigoma soonWacha majungu wewe projects za SGR na bandari na ukarabati wa meli lake Tanganyika zinafanyikia wapi?
wewe ni punguani wa wapi au unafikiri hizo sehemu zinakatwa mbugani? Hizo sehemu zipo tangu tourism management plan ilipowekwa! Hujipimii kizobazoba! hata wewe ukiwa na uwezo wa kujenga lodge kwa criteria zao ya hadhi za nyota tano wanakupa sehemu! Wewe unafikiri TANAPA au NCAA wapo kwa ajili ya nini?Hii speed ya kutoa vibali vya ujenzi ndani ya hifadhi ipungue kidogo