Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakwambia mm mgeni humu?
Huo muundo wa UWANJA wenu hata ubora wake huwezi fananisha na MKAPA stadium.
Kwa East and Central Africa hakuna modern stadium km ya MKAPA .
Na Kuna mwingine unajengwa Dodoma subirieni.
 
I am a Jkuat alumnus too
 
Wewe uache kuniwaza vibaya hayo maneno hata mimi niliyashangaa...usiniwaze kabisa fuatilia aliesema hayo maneno
 
Mimi nilimuuliza ni USA ipi anayosema haina traffic jam, hakunijibu.

Ni kilaza mmoja wa Kikunya anajifanya mtanzania
 
Mimi nilimuuliza ni USA ipi anayosema haina traffic jam, hakunijibu.

Ni kilaza mmoja wa Kikunya anajifanya mtanzania
Fuatilia aliesema America hakuna jams tatizo humu ndani mnavitabia kwa kike sana watt wakiume
 
sasa kama siyo mtaalam kwanini uropoke kwa vitu usivyovijua?
nilijua kuwa umewahi tembelea hayo madaraja mawili na ukafanya vipimo vya ubora,kumbe ni mropokaji tu

uache utoto,ifike mahala ukue,


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mtanzania mpambanaji huyo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…