chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
wacha nyege baridi. kenya still consistently No.6 as per worldbank and imf.. si u knw journalist are in business, anybody can write anythng, whts important here, is the rankings by trusted and reliable sources like imf. period.!
Kusema ukweli sio kuidharau. Ingekuwa uongo labda ungesema naidharau.Unaidharau Tanzania mpka inachekesha...
Hahahaha, mbona unakasirika?, Nimekuuliza swali, unapaswa kunijibu, how comes bigger economy with poorest citizens?[emoji23][emoji23]wacha nyege baridi. kenya still consistently No.6 as per worldbank and imf.. si u knw journalist are in business, anybody can write anythng, whts important here, is the rankings by trusted and reliable sources like imf. period.!
Ukiwaelezea ndugu zako hawaelewi. Yani Anadhani magari 2.5M ni mchezo.Magari ni machache sana Tz na karibia nusu au zaidi yapo Dar peke yake..
Na kuna idadi kubwa Zaidi ambao hawajawai na hawatawai miliki gari. Unaelewa?Kuna idadi kubwa sana ya watu wanao miliki magari zaidi matatu Tanzania na Dsm ndio usiseme kama ilivyo kwa Per Capita GDP ndivyo hata kwenye magari not necessary kua kila mtu ana miliki gari.But in my Opinion Africa haipaswi kusifiwa kwa magari ya kuagizwa tujisifu kwa vitu vinavyosaidia kupunguza utegemezi wa nje ya Africa
Mbona unalia mzee? Mwenye kujua idadi ya gari Tanzania ni blogger aliepo London au ni TRA iliopo Tanzania? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Relax carbon dioxide itoke ๐
Hata ufurame mpaka kesho huwezi kupinga hii data!
View attachment 2132851
Uta save nini kama majority hawana income inayoeleweka?Dah jamaa tumewapiga gape kubwa kwenye suala Zima la ku save, ndugu yao Rwanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina uhakika 100% kwamba wewe huna gari if not prove me wrong.Na kuna idadi kubwa Zaidi ambao hawajawai na hawatawai miliki gari. Unaelewa?
naomba na mm unitag pia ๐๐๐๐Nina uhakika 100% kwamba wewe huna gari if not prove me wrong.
Hakuna kinachoingia uta save nini acha kujitoa ufahamu bure na hata kama kuna kinachoingia rate ya kutoka ni kubwa na hapo ndipo hesabu ya GDP inapofunikwa na PPP. Hesabu hizi tunawafundisha kila siku humu lakini mmengangania GDP GDP tuu sijui aliyewaloga kafa au? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]saving means nothing.......Tumia pesa ikuzoee.....as usual a coward will save instead of using his brain to invest
Ikija kwenye GDP data wanaikubali World Bank ila kwenye ukweli mchungu kama huu wanaanza kurukaruka tuu na kuikana WB[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Tunakwenda kuwafunika kila sehemu ukizingatia huu mchezo ndiyo pekee wanautegemea na ss tunaenda kuwapoteza kwenye ramani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee bado matokeo ya marathon subiri kidogoo wanaweza wakajipanga top 10 yoote! Ohooo...!!Tunakwenda kuwafunika kila sehemu ukizingatia huu mchezo ndiyo pekee wanautegemea na ss tunaenda kuwapoteza kwenye ramani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]