Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We dada ungekua jirani yangu ningehama
 
atleast kenya has some influence in the international matters. tanganyika has what.!?? nothing.! maana ingine ya gdp kubwa

View attachment 2132040
Kenya ni chawa wa USA kama sio mbona USA ilivyoionea Venezuela kisa kusapotiwa na Rusia hamkufungua hilo bakuli lenu, leo hii USA anamsapoti Ukraine mnajifanya kucharuka kama mlupo aliefika kileleni
 
In my view kuna mambo mawili yanayonifanya niamini kua kazungula lina nguzo imara kuliko tanzanite na baadhi ya vitu vilivyochangia hiyo bei kuongezeka.
1. Watumiaji wakubwa ni magari ya mizigo
2. Wana tuta la reli
 
sio sisi, ni nyinyi ndio mnarundika streets zetu na ombaomba.
hakuna narudia hakuna mkenya ata 1☝ tz ombaombaView attachment 2132380
Naona unatapa tapa sana,ukimuona mtz kenya anafanya hiyo kazi sio kwamba amekoswa maisha huku bali hao ni baadhi ya wahalifu walio kimbia nchi au wanatumikishwa kinguvu na baadhi ya wakenya kwa mmaslahi yao binafsi

 
Apoo wamechapwa kweupeee kabisaaa
 
Kumbe wewe umetokea kwa wale washamba ambao mzungu akiwaulizwa bei ya banana wanajibu "Hazijabanana, unghali mwemwe"
 
Ni kweli kabsa lakini vyoo vyao ni kama haya mabanda yenu mnayo laliaga hapo Kenya.

Ila kenya mna shida sana mnalala kwenye nyumba kama hizi? Ata mbwa wa tz anawazidi maisha maana huku sikuhizi mbwa anajengewa nyumba kabsa ya matofali na kuezekwa kwa mabati kabisa

This is kenya,
Vipi umekumbuka lakini kuziba bati lako ili mvua isikunyeshee tena?πŸ‘‡πŸ‘‡

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amen
 
Nairobi itafika 2030 haina gari million 1 kama ambavyo kunyaland haitakua na national grid πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2132462

View attachment 2132463
By 2030 itakuwa na na 1.3, meaning utafika 1 kitu 2025 hivi. Na unajua Dar itafika 1M mwaka gani considering tunanunua 7000 per month nyinyi mkinunua 695 per month.🀣🀣

 
By 2030 itakuwa na na 1.3, meaning utafika 1 kitu 2025 hivi. Na unajua Dar itafika 1M mwaka gani considering tunanunua 7000 per month nyinyi mkinunua 695 per month.🀣🀣

View attachment 2132571
Dar itakua na gari million 3 by then saivi zipo million 2.5

Kwa data toka wizara ya barabara

Kama Inakuuma toa umma weka kijiko

 
Munapenda ubishi usio na maana. Put in mind Ghana's population is just a half of Tanzania's and Ghana is a quarter the size of Tanzania na bado wana magari mengi kumshinda.

View attachment 2132386View attachment 2132388
Hizo ni porojo mimi ghana nimekaa miezi mitatu 2004 ,hakuna magari pale, pia hata uwezo wa kuweka mafuta kwenye gari awana nawajua vizuri waghana ,mimi nimeishi nchi 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…