The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Huu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi 👇Wacha kujiaibishaaaSasa nikikup Arusha unakataa nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa ni watot wa baba moja wanaelewan tu vyemaaView attachment 2131346View attachment 2131350View attachment 2131364
Dar ina postiwa humu since day one,kwa hiyo ukitazama you tube ni tofauti na mnachopost humu?Umeanza kupoteza mwelekeo una unatazama YouTube kuangalia Dsm ilivyo kwenye Ramani mkuu
Tatizo huwa hawataki kuambiwa ukweli.Dar miundombinu na planning ni zero.dar is the only major city in africa that lack, interchanges, bypasses, underpasses, superhighways, expressways and so on...
ubungo ina kaa ka mamba View attachment 2131284View attachment 2131292
Hiyo uliyoweka ni Ghana? Mbona huwa mnakuwa wapumbavu, weka Ghana kwanza tumalizane nayo chuki yako kwa Dar haibadilishi kitu, umeweka picha ya kwanza hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi [emoji116]
View attachment 2131473
View attachment 2131474
View attachment 2131475
Rudi kuandika upya,una hemka Sana hadi hueleweki. 😄😄😄.Hiyo uliyoweka ni Ghana? Mbona huwa mnakuwa wapumbavu, weka Ghana kwanza tumalizane nayo chuki yako kwa Dar haibadilishi kitu, umeweka picha ya kwanza hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2131484
Utafiti uliifanya wewe hapo gongo la mboto uswaziniUtafiti unaonyesha 94% of Nairobians are tenants na 4 out of 10 can't afford rent 😂😂😂😂😂😂
Wenzenu huwa hawapendi kuambiwa ukweli, especially kama ni mtanzania mwenzao anawaambia huo ukweliRudi kuandika upya,una hemka Sana hadi hueleweki. 😄😄😄.
Chuki ya nini sasa,huo ndio ukweli.Dar kwa miundombinu na planning ni hovyo
Na wataambiwa sasa hata kama hawapendiWenzenu huwa hawapendi kuambiwa ukweli, especially kama ni mtanzania mwenzao anawaambia huo ukweli
[emoji817] Ubungo interchange is extremely unplanned. Magufuli wanted to compete with Kenya akajenga 'beachi kidimbwi' akaiita interchange. Now the place looks unplanned and shitty.dar is the only major city in africa that lack, interchanges, bypasses, underpasses, superhighways, expressways and so on...
ubungo ina kaa ka mamba View attachment 2131284View attachment 2131292
Ubishani ulikuwa ni Accra ss mbona unaweka Abidjan.Rudi kuandika upya,una hemka Sana hadi hueleweki. [emoji1][emoji1][emoji1].
Chuki ya nini sasa,huo ndio ukweli.Dar kwa miundombinu na planning ni hovyo
Weee sikuzote unakuaga mafiii sasa unapost mji wa Luanda au nao uko Ghana?.Huu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi [emoji116]
View attachment 2131473
View attachment 2131474
View attachment 2131475
Interchange in the middle of slums[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo uliyoweka ni Ghana? Mbona huwa mnakuwa wapumbavu, weka Ghana kwanza tumalizane nayo chuki yako kwa Dar haibadilishi kitu, umeweka picha ya kwanza hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2131484
So comment hii ndiyo inaondoa ukweli kwamba Dar ni mji pekee EA kuwa na electric SGR? 3level interchange? BRT? Modern bus terminals? Modern Airport?Wenzenu huwa hawapendi kuambiwa ukweli, especially kama ni mtanzania mwenzao anawaambia huo ukweli
Tatizo lako ni mpumbavu pole sanaOya wewe ni mkenya acha kujifanya wewe ni mmoja wetu,hatunaga watu wangese kama wewe.
Punguza KUJIPENDEKEZA kwetu
Zuzu kumbe hata Accra yenyew haijui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]interchange kwa slums...ushuziii hiii ndio izidi TzHuu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi [emoji116]
View attachment 2131473
View attachment 2131474
View attachment 2131475
Rich ya kwenye kalamu au karatasi [emoji23][emoji23][emoji23]kazi kweli kweli sijui izo definition unazitoaga wapkua rich haina maana kua ndio maendeleo inaeza ikawa rich ya kwenye kalamu na karatasi lakini kiuhalisia sifuri bin ziro [emoji23][emoji23]
umeona ehee ile diversion ya kwenda port na pale Bhakhresa yaani we acha tu! Na gerezani inakuja!Dar ndio habari ya Africa tuna hadi interchange za SGR huku.