Nairobi Gossip Club
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 503
- 432
Yani jamaa sijuhi unaachanga akili wapi ukiandika hoja😁,,, kisumu ina international Airport wewe bado unataka nikuletee picha za Airstrip! ndio iweje?airstrip inatumika 24 hrs na inatua A220-300 hebu tuonyesha night vision facilities Kisumu airstrip!
Angalia Uhuru akishuka
international airport while only embraer 190 type of aicraft can land! Show me A220-300 in that Kisumu airstripYani jamaa sijuhi unaachanga akili wapi ukiandika hoja😁,,, kisumu ina international Airport wewe bado unataka nikuletee picha za Airstrip! ndio iweje?
Tony254 acha ubishi wewe ujui kuwa mabasha na mashoga wa ulaya ndiyo wanao taka kujenga hiyo kitu hao watu wako na pesa chafu nyingi mno, The Sunk Cost Fallacy mwambie huyo mukenyaYaani hoteli ya $1.6 billion? Huo ni uongo. Katafuteni sokwe muwadanganye lakini sio sisi. Leta evidence zote nataka kuziona. Na kama ni ukweli basi hapo nakubali mumetuchapa kiboko kizito.
Hapo coconut iko wapi?coconut tree ndani ya Nairobi..ok
Mturuki anaendelea kujenga Jina na heshima Afrika..
Dakar Arena, Senegal.
View attachment 2129621View attachment 2129622View attachment 2129623
Khaa wamepigwa! Ukiwa na hela mkononi stadium haizidi $100 mln tena ukichanganya na Arena ni kama $150-160 mln. Itakuwa vimejengwa kwa mkopo! Kunyaland style!nimepitiapitia kidogo google. hio new stadium ina seat capacity ya 50,000 na imejengwa kwa $270m [emoji44]..
senegal pia wana uwanja mwingine wa 60,000 seat capacity
na hio Dakar Arena ina seat capacity ya 15,000 na imejengwa kwa €100m
kazi kwetu Tanzania!
kwani kuna wajaluo tanzania.? huyo akech ananikalia mkenya sanaIn mkunya voice 😆😆
Yeah, huu mpya wamezindua juzi jumanne.nimepitiapitia kidogo google. hio new stadium ina seat capacity ya 50,000 na imejengwa kwa $270m [emoji44]..
senegal pia wana uwanja mwingine wa 60,000 seat capacity
na hio Dakar Arena ina seat capacity ya 15,000 na imejengwa kwa €100m
kazi kwetu Tanzania!
inategemea na facilities mzee cheki emirates stadium ilijengwa kwa bei ganiKhaa wamepigwa! Ukiwa na hela mkononi stadium haizidi $100 mln tena ukichanganya na Arena ni kama $150-160 mln. Itakuwa vinajengwa kwa mkopo! Kunyaland style!
Mzee tunahitaji FIFA standard stadiums hiyo $270 mln inajenga viwanja vitatu Tanzania vya level ya Mkapa. Kuwa nazo hizo fedha mkononi halafu tangaza tender shindanishi! Ukichukua mkopo haki ya nani unagongwa, na hii ni kiashiria cha Mikopo ya kiduanzi yaani SGR Kunyaland style.inategemea na facilities mzee cheki emirates stadium ilijengwa kwa bei gani