Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moja kati ya bidhaa za thamani Tanzania inauza sana Kenya ni mbao

Leo TFS imetoa miche million 1 bure ya pines kama ilivyo miaka yote kwa wananchi Sao Hill, baada ya miaka 6 hii miche million 1 inaenda kuwa millions of dollars na Kenya ni soko moja wapo

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyumba za maskini kwa kenya ni nyumba za matajiri posh

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Karen yote ni hizi nyumba kumi tu .? 😂😂 Acha ufala wewe jamaa.. no paved roads in Karen still uko hapa kuitaja mbele ya Masaki, ar you crazy or something.?
 
Umemfanyia ukatili mkubwa sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwenzio hakuna alichobaki nacho zaidi ya estate, ss ukimwambia huko nako amechapwa utafanya akimbie battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nyie wakenya mshakuwa vichaa sasa,unabishana na reality

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Inabidi tuwachape ili wajue ukweli, mana jamaa anaongea sana 😂😂😂.. comfort zone yao kidogo kidogo tunaitia dosari mwisho wa siku watakosa cha kusema humu..
 
View attachment 2127528
Geza kapenda rangi ya hii mambo!!!sio letu hili kweli jamani?!
We ngoja tunawaua hawa mwaka huu, tulikuwa tunawaambia mwakani sio mbali, ss wakiona hii wataanza kususa mana rangi zinaonesha ni TRC kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…