Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umemnyuka ikabidi afute comment yake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heheheheee mkuu mabadiliko hayaji kirahisi hivyo, tumetoka mbali enzi zile wakunya wanatuburuza ktk kila sekta mpk ss wana adabu usidhani ni kazi rahisi, lkn pia usichanganywe na hawa wahuni wasio na adabu eti jpm hajafanya kitu huo ni uongo na wengi wao waliguswa lkn pia huenda unabishana na N.a.p.e humu au M.a.k.a.m.b.a so usife moyo wewe pambana ila at least now muelekeo unaonekana, pambana mzee wacha roho nyepesi hivyo.
 
Arguing with a fool is such a difficult job, especially if the fool is a Tanzanian.

Bongolala, first and foremost, there are no apartments in Karen. Hakuna mahali utaenda Karen ukutane na apartment. Baadhi ya picha zako zinaonyesha vizuri Sana apartments and this one below is an example

Sijui hiyo ni Karen gani iko na apartments!

Secondly, kwa jinsi ulivyomjinga you can't even take a minute to read the names of places you are posting here as Karen. Tangu lini Dagoretti ikawa Karen? This image is clearly written Dagoretti but you are still insisting it's Karen.

Dagoretti and Karen are two different places

Listen bongolala, Tanganyika nzima hakuna mtaa inakaribia Karen. Hata utembee hadi wapi hutapata. Uliza huyu mwenzako akuadithie
 
Mzee nimekuvulia kofia, unabisha na vitu vinavyoonekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kmmk umetengwa wewe baba..
 
leo nataka hvi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
prove me wrong kua hii sio karen 🀣🀣🀣
ingia google earth unidanganye mm 🀣🀣

 
utanielewa tu
before zooming πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡











after zooming
 
Mzee nimekuvulia kofia, unabisha na vitu vinavyoonekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kmmk umetengwa wewe baba..
Kwa hivyo unataka nikubali kwamba Dagoretti ni Karen? Ama kwamba Karen kuna apartments wakati hazipo? Karen sio kama ile mtaa wenu wa kifahari Masaki iliyojaa apartments kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…