Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Haya mambo nimeyasoma na nimeyaandika sana kabla ya wewe hujazaliwa.

Sisi ya kwetu inaitwa socialist market economy.
😛😛😛
 
Science sio ngumu, ninachomaanisha ni kua arts wana vitu vichache. Kumbuka tu mwenyewe msuli wa watu wa art advance, mtu anenda prep masaa mawili na tena wanaenda kudiscuss ndio maana wengi wao walikua masharo na bado wanafaulu. Huwezi fananisha PCB au PCM na masomo ambayo unaweza kupractice hata ukiwa unaongea na wenzako
 
Boss, ulinganishe kigated community kama hiki na Karen kichwa chako kiko sawa? 🤣🤣🤣 Hii ilinganishwe na gated communities za Athi River ama Karen. 🤣🤣

Wacha nikuonyeshe. Wanaoishi hapa wameandikwa kazi na wanaoishi Karen. Nadhani unanielewa.

Greenpark Estate Athi River



Everest Park Athi River


Kenpipe Gardens Athi River



Royal Finese Kitengela



Hizo tu baadhi ya Gated communities za Athi River. Hicho ki-Avic chenu labda king'ang;ane na hizo na bado hata hakitoshi. Karen haina peers in East and Central Africa outside Nairobi. Peers wa Karen ni Muthaiga, Gigiri, Spring Valley na Kitusuru na wote wako Nairobi. Trust me, no other Estate can match Karen in this region.
 
Inakaa Hujanielewa yani kuanzia awamu ya tatu ambayo haijajengwa , brt zitakazojengwa huko mbeleni ziwe na uwezo wa kupitisha tram au sehemu brt zinapoishia kwa mfano mbagala rangi 3 wajenge njia za tram mpaka uko kisemvule sijui mkuranga
i think project ya BRT iishe na awamu zake zote 6
..Trams tutumie Elevated Light Rail.ile kama Ya ethiopia kupunguza msomgmano wa chini..maana trams ukizweka surface zitahitaji kuvuka na kupishana na magari etc...

Waweke Elevated Light Rail..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…