Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna [mention]Mashashola [/mention]
Tanzania kuna [mention]The Sunk Cost Fallacy [/mention]

hawa madogo bana. the same kind of person in two different countries [emoji23][emoji3516][emoji1787]
Umeuaa, alafu bora Mashashola kdg tunaelewa anachokipigania kuliko hili boga la Njombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Safi sana mkuu, kuna mambo mengi watu hawayaoni ndio maana baada ya comment yangu nlikaa kimya cause watu wanashindwa kuelewa jinsi muungano unavyoturudisha nyuma. Maisha waliyonayo wazenji ni kutokana na kufanya kazi na biashara bara wakati bara hawamo zenji.
Just imagine muungano ukivunjika, wazenji wakatolewa serikalini na kutozwa kodi ya kila wanachochukua na kuondolewa haki sawa ya biashara huku bara. Watakua maskini balaa
 

😀 Mtaalam nkiona comment yako hua nalike kwanza then ndio naisoma. Hata mabank yetu hususani haya makubwa sasaivi wanatoa ajira kwa kujuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…