Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja ni mradi gani aliofanya Samia mpk ss licha ya kuchukua mamilioni ya $? Kenge wewe mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnataka aanzishe miradi mipya wakati iliyopo haijaisha? Niwakumbushe hakuna miradi ya Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete,JPM au Samia miradi yote ni Umma hivyo haiwezi kua sifa ukacha mradi haujakamilika na kuanzisha kitu kipya.Serikali ni moja watu watapita nchi itabaki milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…