Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo tuli kwama then tukaingiaa middle income country ?akuna mjinga humu anae kufikia hata kwa ukaribu
Middle income tuko toka 2015 ila tulitangazwa hiyo 2020 kwa sababu lazima kuwe na kipindi cha matazamio.

Angalia per Capita income ya 2015 na 2020 uone kama kuna significance change yoyote.

Hata figures za GDP hazijabadilika Sana kwa miaka 6 iliyopita which seems tulikuwa stagnant.

Hata miradi hakuna uliomalizika kwa miaka yote 6.

Kwa mwendo huu wa Samia hadi 2025 tutapiga hatua kubwa Sana kwenye Uchumi.Usijesema sijakwambia.As we speak hakuna figure hata moja inayoenda chini tangu Samia kaingia.

Hadi banks ndogo microfinances zilizokuwa zinakufa na kuwa merged ,this year wamerekodi profit👇

 
Bwawa la nyerere liko Dar sio?
 
Rubbish,hayo yalipandwa na zalimu Mwendazake.

SSH ameyatibu na Sasa anamalizana na chadema.

NYie wajinga wa sukuma gang hakuna mnachoweza kufanya kwa sasa,mtaishia kujifariji kwenye mitandao kama hivi.
Jidanganye...tu ...Unajua kwanini kikwete ndiye raisi asiye kubalika tz kuliko maraisi wote ? Sababu ni kuwa watz tumeamka ,ndiyo maana kikwete alipata upinzani alipo jaribu kumpendekeza raisi wa awamu ya tano aliye mtaka yeye ,hivyo ilo group lenu la WAHUNI NI DHAIFU JAPO LINA FEDHA NYINGI ZA UDHALIMU
 
[emoji99] [emoji42] time to sleep!
Njaa huwa inazalisha wanafki duniani hapa, tuvumiliane tu.

By the way [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kweli kabisa uyo , dhalim akafanya mambo ya ajabu sana, SGR,kuamisha rasmi serikali kwenda Dodoma,kuongeza mapato , kupinga unyonyaji,kusaidia kupunguz gap between rich and poor, for a first time umeme haukua nightmare,kurudisha treni ya zaman iliya simama for years( dar-Arusha),build ships, bridges,kupanua bandari mbalimbali na kuanza kujenga mpya,elimu bure,control price fluctuation,bus termina in all rigions,town roads,sign ni law to protect our natural resources especially minerals,..alafu kuna kenge ziko apa kuponda
Nilijua mafii inakaa tumboni , kwa mara ya kwanza nimeyana kichwani[emoji57][emoji57]
 
Hakuna cha ajabu hapo,mingi ya hiyo miradi haijakamilika kwa miaka yote 6.

Alikuwa na nafasi si tuu ya kufanya zaidi bali kufanya kwa ufanisi,akaishia kuharibu Nchi nzuri aliyopokea kwa JK.

Saizi Samia kaanza upya kuponya majeraha.

Weka kwenye rekodi utaona by 2025 tutalinganisha vizuri Kati Samia na Mwendazake.







 
Nikisema ww ni mafiii namanisha, yani hata mda wa anangalizo hujui?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ww ni takataka ya wapi ? Mda wa angalizo ni three yrs, na ayonmachungu pelekea bibi, alafu hata kufwatilia hujui tulivua 1000 mark 2017...pole JPM atakubutua atakama hayupo na huwezi mwondoa
 
Jibu hoja acha kuharisha,nipe Takwimu nilizosema uweke sio kutetea mumeo.Hasira za ujane usiniletee mimi.

Matokeo ya diplomasia ya Uchumi sio kama yule boya alikuwa anagombana na jirani 😄😄👇

 
now AFDB going extra on our favor!
we will get it done means mambo tayari, tunasubir kurelease tu taarifa rasmi..
Tanzania tunaenda kuwa na inter-national SGR while kenyans wanabaki na intra-national sgr
View attachment 2124424
yao iliishia misituni huko naivasha 🤣🤣 mchina akaitelekeza pale porini na sasa ni big white elephant kama vile lapset😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…