Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahwapi, tukijitenga wageni wataloea na mwishowe wazanzibari kimbilio lao litakua Bara. Wee cheki Seychelles ipo East Africa lakini utadhani ipo australia huko, wazawa wanakimbia nchi yao. Cheki Madagascar na ukubwa wote ila wazawa hawana chao
 
Nshajua, kumbe wewe ni mla urojo 😀 huu mjadala hauwezi kuisha
Yani hilo Kenge likilala likiamka linamuwaza Magu, mtu hayupo duniani lkn mpk kesho anamtawala, usidhani kwamba anamkubali Samia, wala hamkubali sema anajifariji baada ya kupigwa na Magu kipigo kitakatifu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cha ajabu ni kwamba miradi yote aliyokuwa anaipinga ya Magu anaisifia leo, ni kama anajiumiza tu mana Magu kama maji hakwepeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahwapi, tukijitenga wageni wataloea na mwishowe wazanzibari kimbilio lao litakua Bara. Wee cheki Seychelles ipo East Africa lakini utadhani ipo australia huko, wazawa wanakimbia nchi yao. Cheki Madagascar na ukubwa wote ila wazawa hawana chao
Wanakimbia wanaenda wapi?
 
Kipindi kigumuu maana nashangaa kila mKopo unaokuja lazima zenji ipate ila watu wapo kimya tuu wale walikua wanahoji kuhusu jpm kupeleka miradi kadhaa Chato

Kwani Katiba inasemaje juu ya mapato na misaada ambayo iko chini ya Muungano? Kwa mawazo yako Zanzibar na Chato zina hadhi sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…