Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala bana 😂😂😂...mnawafukuza alafu mnarudi tena huko huko kuomba msaada kwasababu ya ufukara?

 
Hehehee!!ukweli mchungu sana[emoji1787][emoji1787]
Kenya tuna consume vitu vingi sana kuwaliko
 
naomba ruksa nipost bila filter plz [emoji1787][emoji1787] mm niliwaambia hapa mombasa haitoboi hata kwa ukucha kwenye modern city kwa mwanza never ever na bahat nzuri miji yote miwili naijua kindaki ndaki ww huna chakusema
Emu post tuzione[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa anakataa kipande kilichochukulia na video ya 4k
 
Jemedari wa kidudu nyonyo
 
Yule pimbi aliweka msingi wa kwako kwanza.kafundisha na wengine.alikuwa fala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…