NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,313
- 19,672
Wakenya tunasherehekea vitu kama hizi, wengine akina Geza Ulole wanasherehekea kuattend mazishi ya Hayati Mandela. We are not the same. 🤣🤣Kama kawaida Kenya lazima iwakilishe East and Central Africa region. 🇰🇪💪
Hakuna anayejipendekeza kwa wa Afrika kusini, tunaposema ni ndugu wa damu ni kwasababu damu zetu sote zilimwagika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika. Kiukweli pamoja na yote, tulifanya hivyo ili kujilinda.Lakini mimi nikiona mtu anajipendekeza kwangu kiasi yenye Watanzania hujipendekeza kwa Afrika kusini ataanza kuniboo. 🤣🤣
This proves everything. Yani, the number of times you say this on this forum is embarassing. Hata wasauzi wenyewe watamuonea huruma. 🤣🤣Hakuna anayejipendekeza kwa wa Afrika kusini, tunaposema ni ndugu wa damu ni kwasababu damu zetu zilimwagika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika. Kiukweli pamoja na yote, tulifanya ili kujilinda.
Wale ma Boer walikuwa wameshaota mapembe, walikuwa teyari wameshaanza kuongeza himaya yao kwenda kaskazini, walishaichukua Namibia, walikuwa wanampa silaha Savimbi na walikuwa wanamsaidia Ian Smith Zimbabwe. Walikuwa teyari wameshaenda Usheli sheli na ilikuwa ni muda tuu wangekuja hadi kwetu.
Proving what?This proves everything.
Break it down.Yani, the number of times you say this on this forum is embarassing.
Sijakuelewa unamaana gani hapo?Hata wasauzi wenyewe watamuonea huruma. Ha
Njaa mwana malegezi!
is that a refugee campNimeona barabara moja ya lami pekee, hiyo highway inayopita katikati ya kamji kenyewe. [emoji1787][emoji1787]
Samahani mheshimiwa mbona hujamalizia sentence yako vizuri? Nadhani ulimaanisha hivi👇Hakuna Mkenya mwenye akili anayeweza kulinganisha Mwanza na Mombasa. Mombasa hulinganishwa na Dar.
Hakuna Mkenya mwenye akili anayeweza kulinganisha Mwanza na Mombasa. Mombasa hulinganishwa na Darfur.
That you bootlick them,Proving what?
You keep on posting how they are your brothers - you won't find South Africans singling out Tanzanians as their brothers. During the xenophic attacks, in fact Tanzanians died.Break it down.
Yani South Africans will pity how you are always bootlicking them. There's visa-free entry policy amongst all SADC countries but you won't see other members of SADC making a big fuss like Tanzanians make over their Visa-free entry to SA. HeheheSijakuelewa unamaana gani hapo?
Waacha uzembee wwWatu mpanda wanalala stendi[emoji1787][emoji1787]
Sumbawanga je!!wanalala pale kw ile main road yao
naomba ruksa nipost bila filter plz 🤣🤣 mm niliwaambia hapa mombasa haitoboi hata kwa ukucha kwenye modern city kwa mwanza never ever na bahat nzuri miji yote miwili naijua kindaki ndaki ww huna chakusemaMwanza[emoji1787][emoji1787]
Kituko cha mwaka
Hii picha tu inameza ghorofa zote za mwanza, arusha, mbeya city sijui miguluka ipiView attachment 2122844
Punguza ujinga, huu ujinga wenu wa kusema Mambo ya uongo bila ushahidi Peleka huko Kibera, Tanzania tunakula mahindi na mchele mwingi kuliko ninyi wakenya, Tanzania kwa mwaka tunazalisha 7M tonnes of maize, 90% tunatumia wenyewe, Kenya mnazalisha "only 3M tonnes of maize.Kwhyo kenya hakulimwiee, acha kujidanganya wewe hta ule wakati unaskia kenya inahitaji chakula especially mahindi huaga ni surplus ndio tunahitaji..
Ukumbuke tuna consume kuwaliko licha ya nyie kuwa na population kubwa...
Usidanganywe na mtu bana, kenya wakulima wa ndani wapo sema tu serekali haitaki kutilia maanani ukulima kw sababu ukiangalia sana kwenye irrigation schemes hazifanyi vizuri lkn bado serekali..
Bura tana irrigation scheme inauwezo wa kulisha kenya nzima sema tu bado viongozi hawana hamu nazo sijui au nisemeje..
Galana kulalu nayo ndio usiseme, hayo mabo eti ardhi amepewa mkoloni peleka hko..
Wale wanalipa kodi km dangato anavyofanya kule mtwara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Butlicking is not in our DNA, we kicked the British out when they supported Ian Smith, what are you talking about?That you bootlick them,
Not just South Africans, all SADC members are brothers, that comrade spirit only comes from people who fought in a war together, you don't know that because you never had the guts to wedge war with any country.You keep on posting how they are your brothers - you won't find South Africans singling out Tanzanians as their brothers. During the xenophic attacks, in fact Tanzanians died.
These words must come from someone who has to wait in line to get a visa.Yani South Africans will pity how you are always bootlicking them. There's visa-free entry policy amongst all SADC countries but you won't see other members of SADC making a big fuss like Tanzanians make over their Visa-free entry to SA. Hehehe