Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa na nidhamu na adabu,hiyo ni Miji mikuu ya Mikoa yenye hadhi ya Manispaa,ukome kabisa kuita Vijijini kenge wewe.

Mpanda for Katavi and Sumbawanga for Rukwa Regions respectively.
 
Wacha ujinga kama Uwoya ni gold digger, Jacqueline anaepuka vp na hiyo tag?
She started her furniture design business before she got married to Mengi. And I don’t care if Mengi helped her build her business because that’s what a supportive partner does! The fact that her company won an award shows that she’s creative and fully committed to her craft!
 

mim sio mjuzi sana ila si kule ile RUVU sijui Kwala ICD itasaidia kupunguza makontena bandarin.. sisikiii kuhusu maendeleo yake yakoje.. ila navyojua kuna barabara inajengwa kutoka vigwaza kutoka morogoro rd kwenda huko kwala ICD
 
evidence?
 
we jamaa bana.. jacqline alikuwa sijui miss tanzania sijui runner up.. sasa unadhan kbla hajakutana na Mengi, unadhan alikuwa yupo yupo tu hana mishe za maana za kumuingizia hela
wacha upumbavu kampuni yake ya furniture iajulikana lini imeanza na alikuwa yuko na Mengi!
 
Wakenya huku sio Dar ni Mkoani, Sumbawanga πŸ‘‡
 

Attachments

  • Makubwa yamefanyika Jangwani Sumbawanga ( 720 X 1280 ).mp4
    18.2 MB
  • ULGSP_ SUMBAWANGA wameyaona ya DSM, ''WAMEJIPANGA KWA MIAKA 20'' ( 144 X 256 ).mp4
    10.9 MB
  • UJENZI WA NYUMBA WAGHARIMU ZAIDI YA BIL. 1, SERIKALI YASIKITISHWA NA HALMASHAURI... ( 360 X 64...mp4
    14.4 MB
  • WAZIRI MABULA AMPONGEZA MBUNGE WA SUMBAWANGA KWA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI NHC ( 360 X 636 ).mp4
    7.3 MB
Uhuru wenyewe mlifanya kugaiwa km peremende joto la jiwe

Kenya ilipambana achana na nyie wakombozi mlioshindwa kujipambania wenyewe mpka nchi mkapewa bure
πŸ˜€ Sasa hapo kunatofauti gani na nyani, Nyani ndio wanasuluhisha kwa kupigana. Nadhani sasa umeona tofauti ya binaadamu na nyani na ndio maana mkishachafuana kisiasa tunakuja kusuluhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…