TANZANIA KAMA NCHI INA ISHINDIA KENYA ALMOST EVERYTHING LAKINI BADO INA UCHUMI MDOGO...HUONI KANA KWAMBA NCHI YA TZ IMEJAA MA ZUZU...KWA SABABU IWEJE MANA....Mpuuzi pekeake ndio atakuja kuandika ujinga kisa hasira..
Wakenya wana nguvu kiuchumi kuliko tz mara kadhaa..
Haiwezekani eti nyie mjiite mna uchumi bora wakati zero, tuonyeshe mobile banking tz inaingiza pesa ngapi na mabenki je kampuni binafsi vipi..
Nyie watu misifa tu lkn zero kabisa kiuc
Imekuingia hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee unaongelea uchumi upi wanaomilk wakenya.
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2119818
Ukweli ni kwamba watanzania hawana nguvu kiuchumi kushinda wakenya..TANZANIA KAMA NCHI INA ISHINDIA KENYA ALMOST EVERYTHING LAKINI BADO INA UCHUMI MDOGO...HUONI KANA KWAMBA NCHI YA TZ IMEJAA MA ZUZU...KWA SABABU IWEJE MANA....
LAKINI BADO WAKO NYUMA YETU KENYA KIMAENDELEO...HII NI THIBITISHO KUWA TZ NI WAVIVU, PUMBAVU, JINGA, BACKWARDS, KISOMO KIDOGO AND THEY LACK WISDOM AND INTELLIGENCE.
- ARDHI SEHEM KUBWA KUILIKO KENYA
- SEHEMU KUBWA YENEYE ROTUBA
- MADINI MENGI
- IDADI KUBWA YA WATU ZAIDI YA MILIONI KUMI
- FORSTS AND GAME RESERVES MORE THAN KENYA
- HIGHEST MOUNTAIN THAN KENYA
- LONGEST SEA SHORE
Km tz professor anaongea pumba hapo unataka nini tena[emoji1787][emoji1787]Mnawasomi wengi [emoji23][emoji23][emoji23] Can you mention few of them!? Akina Uhuru Kenyatta ndio unawaita wasomi!!!
Akina mama Ngina ndio wasomi wenu.
Mzee huwa nikiangalia picha za wakenya machozi huwa yananitoka.Imekuingia hyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli utabaki pale pale, vyanzo vya hela vipo wazi kabisa
Kwahiyo kumbe ndiyo mana majority ya wakenya wanasumbuliwa na njaa kumbe ni kwasababu serikali yao imewaachia sekta binafsi ktk kila nyanja, ss hii serikali ya Kenya isiyojishughulisha na aina yoyote ya shida zinazowakumba inakusanya pesa nyingi alafu inapeleka wapi?Import ni negative lakini sikuwa nazungumzia uzuri au ubaya wa import. Nilikuwa nasema tu kwamba ukubwa wa import unaweza kutumika kama kigezo cha kupima ukubwa wa uchumi wa nchi fulani. Lakini naona Watanzania kama akina Geza Ulole, toptorn na The best 007 wanasema kuwa Kenya ina-import mizigo mingi sana kwa sababu ya mikopo. Sijui kama kuna ukweli wowote kwenye madai hayo ukizingatia kwamba most of those imports zinafanywa na private sector ya Kenya na sio serikali ya Kenya. Madai yao yangekuwa na mashiko ikiwa serikali ya Kenya ndio ingekuwa ina-import most of these goods kwa sababu serikali ya Kenya ndiyo iliyozongwa na madeni lakini sio private sector ya Kenya. Private sector ya Kenya haina madeni mengi vile na ndio inayoimport most of these goods. HUSUSAN wafanyibiashara wadogo wadogo wa kuuza nguo, magari, spare-parts ya magari, computers, laptops, simu ya mkononi na kadhalika. Pia kampuni kubwa kubwa zina-import malighafi kwa mfano kampuni za cement huwa zinaimport clinker kwa maana Kenya haina uwezo wa kuproduce clinker. Halafu hata kwenye cooking oil kuna baadhi ya makampuni yanayoimport cooking oil kutoka India. Petroleum products pia zinakuwa imported na private sector kutoka Uarabuni. Ikumbukwe kuwa wafanyibiashara wadogo wadogo wa Kenya ndio wanaokuja Tanzania kununua, vitunguu, nyanya na mahindi huko kwenu na sio serikali ya Kenya.
Hawa hapa ndio wasomi wakenya mzee.Km tz professor anaongea pumba hapo unataka nini tena[emoji1787][emoji1787]
Kabudi ni professor hapo unatakaje
Alafu kwnn huwa unapenda kuongea vitu pasipo kuwa na data kamili? Nani alikuambia GoT haiuzi bills and bonds?Wapi nilisema haipo kwenye red zone? Obviously debt to gdp ratio ya Kenya ipo juu lakini haipo vibaya kama ya Ghana au Sudan. Isitoshe nusu ya deni la Kenya ni domestic na nusu ndio iliyokopwa kutoka nje. Kwa hivyo wakati mtu kama joto la jiwe anakuja hapa kuongea eti Kenya ipo karibu kuwa bankrupt ukumbuke kuwa nusu ya mikopo hii ni ya Wakenya wenyewe wameikopesha serikali yao kupitia treasury bills and bonds. Kila wakati serikali ya Kenya inapouza treasury bills and bonds huwa Wakenya wengi wanajitokeza kuzinunua. Sijajua ni kwa nini serikali yenu haipendi kuuza treasury bills and bonds kwa Watanzania au ni kwa sababu wanajua Watanzania hawana pesa na hawatazinunua kwa wingi? By the way kama Wakenya hawana pesa, itakuwaje nusu ya deni ya serikali ya Kenya imekopwa ndani ya nchi? Wacheni propaganda za kipuuzi Wabongo.
Hawa wenzetu ni washamba mnoAlafu kwnn huwa unapenda kuongea vitu pasipo kuwa na data kamili? Nani alikuambia GoT haiuzi bills and bonds?
Mambo ya GDP ya Tz wala isikuumize kichwa, cc watz tunaojua hili jambo huwa tunawaeleza humu wakenya wenzako ila wanajifanya vichwa ngumu japo ukweli wanaujua.Bado napenda Tanzania na bado naamini uchumi wenu upo under-valued. Nimesema hivyo kwa muda mrefu sasa kwamba kulingana na miradi mingi inayoendelea Tanzania na kwamba mnaeexport chakula ukanda wote huu na munauza dhahabu ya $3 billion kwa mwaka, uchumi wenu haustahili kuwa mdogo hivyo. Gdp yenu inastahili kuwa mkubwa kushinda hio $70 billion ambayo serikali huwa inataja. Halafu mumekwama hapo kwa $60-70 billion kwa miaka mitano au sita sasa japo uchumi wenu unakuwa kwa asilimia 5 au 6% kila mwaka. Licha ya kurebase uchumi wenu mwaka wa 2014 na 2019 bado uchumi wenu umekwama pale pale. Tatizo liko wapi ikiwa nchi kama Ethiopia ambalo lina a more primitive economy linashinda uchumi wenu kwa ukubwa? Mimi huwa ninashuku Tanzania bureau of statistics haina ujuzi unaofaa na wanahitaji msaada kutoka nje ili waweze kupima ukubwa wa uchumi wenu vizuri.
Kuna uwezekano wameshindwa kuzingatia sector mpya zinazoingia kwenye uchumi wenu kwa mfano boda boda wa pikipiki wamekuwa wengi sana miaka mitano zilizopita hapa Africa mashariki, hii lazima izingatiwe kwenye kucalculate mapato ya nchi kama sub-sector mpya ya transportation and logistics. Na mambo ya internet nayo imechipuza biashara mpya kama ya kuuza na kuchuuza bidhaa kupitia mtandao. Halafu miradi mikubwa kama JNHPP ambayo ni takriban $2.5 billion na SGR yenu ambayo ni zaidi ya $4 billion, unaweza imagine kama ni cement au vyuma vinanunuliwa ndani ya nchi basi ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Miradi za daraja ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Ni watu wangapi wanapokea mishahara wanaofanya kazi kwenye miradi hii? Yaani itakuwaje uchumi wenu umekwama kwenye $60 billion kwa miaka mitano? Haiwezekani, lazima kuna tatizo mahali.
Mimi huwa naona uchumi wenu umekaribia wetu na unastahili kuwa around $90 billion. Lakini hio ni maoni yangu tu kwa sababu sijakaa chini na kupitia ripoti ya gdp yenu kwa undani kama nilivyofanya ya Kenya. By the way, Imf wana kitengo maalum ya kusaidia nchi masikini kuboresha statistical reporting capacity zao. Nchi nyingi za Africa zipo hovyo sana katika kupima ukubwa wa uchumi zao. Kuna nchi za central Afrika ambazo hazijawahi kurebase uchumi zao kwa zaidi ya miaka ishirini. Nchi nyingi za Afrika zipo hovyo sana kwenye suala hili. Inawezekana Kenya tunabahatika kupata training na maarifa kutoka Imf na World Bank kwa maana taasisi hizi zina regional headquarters hapa Nairobi. Halafu Kenya sisi tunapenda kujipendekeza kwa wazungu so unakuta Wafanyikazi wa KNBS wanapata training kila wakati jinsi ya kupima na kuclassify different sectors za uchumi. Wafanyakazi wa KNBS huwa wanakwenda hadi ulaya kupata trainings kila uchao kwenye masuala ya kumeasure, kuclassify na kureport different sectors za uchumi. Tieni bidii kidogo kwenye hili. Nchi kama ya South Afrika ipo mbele sana kwenye suala hili kiasi cha kwamba wao hurebase uchumi wao kila baada ya mwaka mmoja badala ya kila baada ya miaka mitano kama tunavyofanya Kenya na Tanzania. South Afrika wao wanarebase kila mwaka kwa sababu wana pesa na ujuzi na wataalam wa kutosha.
Umeandika vyema ni kweli inawezekana uchumi wetu uko undervalued na si wewe tu umeweza ku identify inawezekana bado hatujapima uzalishaji vizuri...ingawa bado pia kodi ukusanyaji ni mdogo..yani inakusanywa kwa watu wachacheBado napenda Tanzania na bado naamini uchumi wenu upo under-valued. Nimesema hivyo kwa muda mrefu sasa kwamba kulingana na miradi mingi inayoendelea Tanzania na kwamba mnaeexport chakula ukanda wote huu na munauza dhahabu ya $3 billion kwa mwaka, uchumi wenu haustahili kuwa mdogo hivyo. Gdp yenu inastahili kuwa mkubwa kushinda hio $70 billion ambayo serikali huwa inataja. Halafu mumekwama hapo kwa $60-70 billion kwa miaka mitano au sita sasa japo uchumi wenu unakuwa kwa asilimia 5 au 6% kila mwaka. Licha ya kurebase uchumi wenu mwaka wa 2014 na 2019 bado uchumi wenu umekwama pale pale. Tatizo liko wapi ikiwa nchi kama Ethiopia ambalo lina a more primitive economy linashinda uchumi wenu kwa ukubwa? Mimi huwa ninashuku Tanzania bureau of statistics haina ujuzi unaofaa na wanahitaji msaada kutoka nje ili waweze kupima ukubwa wa uchumi wenu vizuri.
Kuna uwezekano wameshindwa kuzingatia sector mpya zinazoingia kwenye uchumi wenu kwa mfano boda boda wa pikipiki wamekuwa wengi sana miaka mitano zilizopita hapa Africa mashariki, hii lazima izingatiwe kwenye kucalculate mapato ya nchi kama sub-sector mpya ya transportation and logistics. Na mambo ya internet nayo imechipuza biashara mpya kama ya kuuza na kuchuuza bidhaa kupitia mtandao. Halafu miradi mikubwa kama JNHPP ambayo ni takriban $2.5 billion na SGR yenu ambayo ni zaidi ya $4 billion, unaweza imagine kama ni cement au vyuma vinanunuliwa ndani ya nchi basi ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Miradi za daraja ni cement ngapi zinanunuliwa hapo? Ni watu wangapi wanapokea mishahara wanaofanya kazi kwenye miradi hii? Yaani itakuwaje uchumi wenu umekwama kwenye $60 billion kwa miaka mitano? Haiwezekani, lazima kuna tatizo mahali.
Mimi huwa naona uchumi wenu umekaribia wetu na unastahili kuwa around $90 billion. Lakini hio ni maoni yangu tu kwa sababu sijakaa chini na kupitia ripoti ya gdp yenu kwa undani kama nilivyofanya ya Kenya. By the way, Imf wana kitengo maalum ya kusaidia nchi masikini kuboresha statistical reporting capacity zao. Nchi nyingi za Africa zipo hovyo sana katika kupima ukubwa wa uchumi zao. Kuna nchi za central Afrika ambazo hazijawahi kurebase uchumi zao kwa zaidi ya miaka ishirini. Nchi nyingi za Afrika zipo hovyo sana kwenye suala hili. Inawezekana Kenya tunabahatika kupata training na maarifa kutoka Imf na World Bank kwa maana taasisi hizi zina regional headquarters hapa Nairobi. Halafu Kenya sisi tunapenda kujipendekeza kwa wazungu so unakuta Wafanyikazi wa KNBS wanapata training kila wakati jinsi ya kupima na kuclassify different sectors za uchumi. Wafanyakazi wa KNBS huwa wanakwenda hadi ulaya kupata trainings kila uchao kwenye masuala ya kumeasure, kuclassify na kureport different sectors za uchumi. Tieni bidii kidogo kwenye hili. Nchi kama ya South Afrika ipo mbele sana kwenye suala hili kiasi cha kwamba wao hurebase uchumi wao kila baada ya mwaka mmoja badala ya kila baada ya miaka mitano kama tunavyofanya Kenya na Tanzania. South Afrika wao wanarebase kila mwaka kwa sababu wana pesa na ujuzi na wataalam wa kutosha.
Maneno kama haya yafaa yatoke kwa watu kama tuusan ama Walker255 . Lakini sasa ng'ombe kama wewe mwenye hujawai toa point ya maana hapa ambayo sii ushabiki ukiongelea ushabiki si ni kama fisi kuonya wanyama wengine against ulafi?🚮🚮mwenzenu angalau yupo parfect sana kwenye kuzungumzia jambo flani na huwa hapindishi pindishi maneno wala hana ushabiki wa kijinga kama nyie, inabidi mjifunze kupitia tony,
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
hehe....what a consolation.if i were a tanzanian i would clap for you for this sarcasm........when tz gdp was ahead of kenya's in 2002 what was the excuse........Kibaki revolutionized kenya and Uhuru has continued the same way.....despite the corruption stories Kenya is way above its peers in the region and africa as a wholeHalafu badilisheni sheria. Nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya na Tanzania bado tunatuma wafanyikazi wa bureau of statistics zetu waende kwenye field kucollect data kutoka kwa makampuni. Sasa unakuta nchi kama Tanzania haina wafanyikazi wa kutosha wa kucollect data hii na unakuta data nyingi inasahaulika kwenye field. Nchi za ulaya ziligundua kwamba ni kheri wapitishe sheria inayozilazimisha kampuni binafsi kureport data kwa bureau of statistics kila mwisho wa mwezi. Kampuni ambayo itakosa kureport data yao itachukuliwa hatua nzito sana ya kisheria. Sasa unakuta badala ya wafanyikazi wa bureau of statistics kuenda kuchukua data kwenye field, unakuta kampuni yenye bila hata kushurutishwa inatuma data yake kwenye bureau of statistics kupitia email au njia yoyote ile ya mawasiliano. Kazi inakuwa rahisi kwa bureau of statistics kucompile hii data yote na kuandika report.
😆😆😆 Ww kilaza kweli,unajijibu mwenyewe,hivi,unakusanya mapato makubwa,alafu yanaishia kwenye mifuko ya watu binafsi,yanasaidia nn?Jamaa domo tu kumbe kichwani zero, uchumi wetu ni wa tofauti sana hapa sub- sahara africa..laiti ingelikua ni nyinyi basi sai nchi ingelikua imrporomoka kitambo..
Unasema kenya kuna corruption na wakati na hyo corruption bado inakusanya kodi maradufu zaidi yenu
Ss unalia nn, hupendi ukweli au co[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hehe....what a consolation.if i were a tanzanian i would clap for you for this sarcasm........when tz gdp was ahead of kenya's in 2002 what was the excuse........Kibaki revolutionized kenya and Uhuru has continued the same way.....despite the corruption stories Kenya is way above its peers in the region and africa as a whole
Huyo noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Comments zako huwa nabofya like kabla ya kuzisoma. [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Kwasababu wakenya wengi wanaishi kwa kutegemea sukuma wiki basi ndio unadhani mpk watz ni hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]joto la jiwe kakubali km kenya uchumi ni mkubwa...
Ila usijisshaulishe, wanaoshikilia uchumi ni wananchi, kwhyo jiulize kwnn nyie uchumi wenu mdogo..
Jibu linakuja pale raia wengi wa tz kiuchumi taabani
Jamaa akipanda mihogo na mboga mboga tosha anakuta keshamaliza kila kitu katika maisha yake