Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hapo ningekuwa na simu yng ningewachorea vzr muone nyie wapumbavu mnaopigwa kila siku kwenye miradi kwa kupenda decorations na sio uhalisia.
 
Sure, ila Magu hakuwahi kuichukia Kenya bali alitaka kuwaelewesha kwamba mali za Tz zianze kumnufaisha mtz kwanza na co mtu mwingine, ni sawa na useme Magu hakuwapenda wazungu kisa aliwakataza kuchimba madini pasipo makubaliano ya win win situation.
 
Jamaa eti ywasema angelikua na simu yske angechora, sasa km tayari akilizao zinawatuma pasiwe na mzunguko hapo unatarajia nini km sio kutuchorea mteremko
 
Wewe engineer unaefanya kazi kwenye chumba chenye milango ya kuinua na una million 2 Bank kila mwezi kumbe na mitumba pia unavaa? πŸ˜†
best jumpers, t-shirts, jackets or shoes, utaipata mitumba. kenya ata wabunge baadhi yao wamenyuka pamba za mitumba. hio quality yani.. πŸ”₯πŸ‘πŸ½
 
Wewe engineer unaefanya kazi kwenye chumba chenye milango ya kuinua na una million 2 Bank kila mwezi kumbe na mitumba pia unavaa? [emoji38]
We acha mchezo wewe, kisoko unapata kitu kikali sana km una mtu ambae mnafanya biashara pamoja mzigo ukitua anakutengea vitu vikali vya mambele basi kitaani wanabaki kujiuliza vipi huyu manake dukani hawavikuti na wakipata bei ni balaa wakati wewe umefanyiwa bei ya kisela sela.
 
Tangu lini Kenya ikafaidika kwa mgongo wa Tanzania? 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…