Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Raila hatakubali matokea abadan😀😀
Uhuru kashaiba mapema as usual
 
Kuna ubaya gani tukiendelea na hii battle yetu pendwa??
RAO kashapigwa bao la mkono tayari, Ni vizuri sasa atulize wafuasi wake kwani sio Lazime yeye awe rais, I mean Kenya will always be there in his presence or absence.

Dar es Salaam our lovely City. (Kizuri hujiuza)
 
NAIROBI Kenya oyeee,UHURU oyeee
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


sema uhuru inabidi akatoe ngoma moja ya kwaito kwa pacha wake uhuru kule kwa madiba S.A
 
NAIROBI Kenya oyeee,UHURU oyeee
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


sema uhuru inabidi akatoe ngoma moja ya kwaito kwa pacha wake uhuru kule kwa madiba S.A
Nchi haitakalika unafkiri raila atakubali kirahisi
Subiri uone sasa😀😀😀😀😀
 
GO katika ubora wako....waache majirani wapate ahueni kidogo...ndio kwanza wapo katika sintofahamu ya uchaguzi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…