dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
hii ni kidonda ndugu ya mtanganyika, kwa karne kadhaa zijazo. enway msikonde, ivo tu ndo kunaendaga. 😆 mtazoea tusijui ni hadi lini hawa watz watakuja kuelewa kuwa gdp ya kenya $109b sio tu kwenye makaratasi ama imechongwa ......
yani from this report of AfricaBusiness2021, of 25 top companies in east africa, kenya ina 15 slots.! ikiongozwa na safaricom; ikiwa na market capitalization of $13b, and which make it to top10 list in africa!.. Tz ikiwa na 8 slots, ikiongozwa na tanzania breweries, ikiwa na market capitalization of $1.3b, na ikiwa no.90 in africa!.
then napenda vile za kenya zina dorminatiwa na finance, telecommunication etc, huku za tanganyika ziki dorminatiwa na beer na sigara. 😆
alafu unaskia mtu akisema eti gdp yetu ni ya makaratasi ama ni ya mchogo..
hoja hapa ni kwamba, maana ya kuwa na gdp kubwa ni kua, tutawabandua kwenye sekta nyingi.. (jana thru tuusan ilikua ni kwa kilimo na umeme, leo ni kwa report ya makampuni, kesho itakua ni kwa kitu kingine, and so on, and so on...).. mtakuja tu kuelewa siku moja, msije tena kusema eti gdp ya kenya ni kwa karatasi..
i ll capture a full snapshot tomorrow using tablet..
meanwhile here is the link👇🏽
Africa's Top Companies 2021: East Africa - African Business
and here is a snapshot section of the 2021AfricaBusiness report👇🏼
View attachment 2113336
View attachment 2113329
Ni chokoraa mmoja hivi huko kunyaland.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] ama huyu ndio desmond[emoji848]
Flyovers na interchanges hujengwa according to demand sio decoration as you think.Takataka, cheap !!!
Without interchanges, flyovers just full of roundabouts!!!
inaonekana uko na very shallow brains. enway tuwachie tu hapo. mmetushinda basi.. sawa. hope umefurahi sasa..Sisi hatutaki kuona GDP kwenye makaratasi sisi ni Tomaso tunataka tushike na kuona GDP kwa mikono yetu na macho yetu kama ilivyo huku Tz na viongozi wetu wanajua tabia hiyo ya waTz ndio maana hawatuchezei kila kukicha wanatushikisha GDP na kweli tunaiona.
Hiyo tunayo kwa sgr na bado tunajenga kwaajili ya commuter rail. We think mass transit for common mwananchi while you plan for the rich hiyo ndio tofauti yetu.Danganyika ikijenga barabara kama hii utakua fossil fuel View attachment 2113149
Nyinyi wanawake wa kenya ni waongo sanawoiye! wajameni mimi sasa.... [emoji57][emoji57][emoji57] kuanzia lini...... nimekua muongo wapi?
Anayeona gdp on paper na kufurahi na anayeona na kushika gdp on the ground na kufurahi nani ana shallow mind?inaonekana uko na very shallow brains. enway tuwachie tu hapo. mmetushinda basi.. sawa. hope umefurahi sasa..
Ethiopia na somalia vipi, we jamaa kumbe bwege sana[emoji1787][emoji1787]
Yani kutokua kwenye equator lkn bado mna idadi kubwa sana ya watu wanaojichubua kw hapa EA..
Mikorogo EA soko kubwa lipo tz
Tz vision by 2025
1.Agri input $1Bn
2.mining sector $3bn
3.tourism sector $3bn
4.industrial products $1.5Bn
Haya yanawezekana...tukiweza attracts more investors sababu umeme utakuwepo wa kutosha tunavuka...ila sijajua kwann forecast gdp wameweka $92bn
Our sgr is working, yenu bado imekwama. Our commuter rail is way better than what you have down there both in length and standards. Listen to yourselfHiyo tunayo kwa sgr na bado tunajenga kwaajili ya commuter rail. We think mass transit for common mwananchi while you plan for the rich hiyo ndio tofauti yetu.
Huyu ni wanyamwezi tz
Hebu nitajie any rich Somali you know in Kenya and his or her networth now that they "own" our economyNow the ball is on your side 😅
Retailing business is owned by somalis na hata viwanda and real estate pia Dada zenu wanawapapatikia sana Wasomali 😅😅
Huwezi kumuondoa msomali Kenya bila uchumi wa kenya kubaki zero
Wewe unatoa wapi hizi figures? Hiyo figure yako ya mining ni kiasi cha revenue ya dhahabu pekee inavyo-contribute kwa Tanzania at the moment tena sasa kuna refineries (it should have gone higher)! Contribution ya Mining itself sasa ipo juu ya $4 bln na target ni $10 bln tena inaongelewa kila siku!Tz vision by 2025
1.Agri input $1Bn
2.mining sector $3bn
3.tourism sector $3bn
4.industrial products $1.5Bn
Haya yanawezekana...tukiweza attracts more investors sababu umeme utakuwepo wa kutosha tunavuka...ila sijajua kwann forecast gdp wameweka $92bn