oya wee bichi kidimbwi hebu skiza bana...hakuna project yoyote hukosa kulipiwa...Hpa ni plus kwa kenya kwa sababu gani?....hatutumii pesa zetu kama nchi...baada ya 27 years barbara itakuwa free for all...for now jamaa watakusanya hela zao walizozitumia...halafu baada ya 27 years warudi zao..Hiyo barabara ni aibu kwenu mtachekwa africa nzima mchina anakwenda kuikolonaizi kenya ,nashangaa wakenya mnapata wapi moyo wa kuishabikia hiyo barabara[emoji1787][emoji1787]ndiyo maana komora096 sijawai kumuona akiongelea wala kushabikia hiyo barabara ya kulipia mali halali ya mchina
KUNA DHIHIRISHO KAMILI KWAMBA HII EXPRESS WAY IMEWAUMA TZ KKKKKKWELIIHakuna construction board. Expressway does not existView attachment 2106148
Hivi hata unajuwa hii ajali ilitokea lini?
Gusa unate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nchi sijui nani ameilaani hata wanyama hawana heshima
Hii barabara yao inakaa kama kitu ingine sitaki kusematanganyika architects and civil engineers are realy amazing.! i'd rather say, they are evil minded.!😆 View attachment 2107363View attachment 2107364
😂,Nilijua tu hamtaamini hapo ni Kenya,,pia nami siamini coz expressway has really changed the face of Nairobi,,na bado,,ikikamilika,,wacha tu!! 😍💕Hii picha si kunyaland! wacha kuiba picha!
hakuna anachojua ,huyo ni fun peopleHivi hata unajuwa hii ajali ilitokea lini?