Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mm sio wakupuuzwa, mm lazma munichukie kwasababu ndio mtu pekee naanika chupi zenu hadharani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamuwezi kunipenda
Huna jipya, siku zote kilaza akiambiwa ukweli huoni nkm hapendwi
 
Huko juu mkifika mnafikia wapi kwenye jengo au kwenye icho kibao cha matangazo ?,mimi napendekeza huko juu wajenge japo shehemu ya kufikia 4 zenye migahawa na madhari nzuri za kitalii
 
Uharibifu wa nature,hakuna mtu atafanya huu ujinga wako.
Huko juu kunatakiwa kuwe na huduma hata kama kwa kutoboa mlima iwe ndani kwa ndani ili pasionekane maana kuna swala la afya pia ,kwahiyo siyo lazima hizo hotel ziwe zinaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…