Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duu, hongera jamaa. Kiswahili chako kimeenda shule kiasi chake. Wenzio wanabananga saana.
 
Unaleta story ulizoota usiku
 
Hiyo report ni ya uongo mkuu, Tz inazilisha cement zaidi kuwaliko pitia hizi data za viwanda viwili tu vinazalisha zaidi ya 3 million tonnes 👇 twiga cement 👇Simba cement Tanga report ya 2016 👇and mind you Tz iko na viwanda vikubwa vya cement vingi mno 👇, and many of these factories are producing more than 1 million tonnes annually.
 
Wakenya kila walichonacho utasikia only in East and Central Africa,Wakiletewa project za Tz wanakimbilia kwenye Rebased GDP
GDP yetu imewazidi....whether you like it or not.....ni nyinyi mlianzisha hii thread ya ujinga ya kushindana na sisi..Everyone else in the whole world knows Kenya is more developed than tanganyika save for some few deluded ones on this thread like you
 
Mtu uliyemshinda GDP anauwezo wa kuzalisha chakula kingi na anakugawia na wewe.Unayemzidi GDP anakuacha kwenye credit capacity🤣🤣🤣siku tukitumia mbinu yenu ya kirebase tutakua na GDP ya $200bln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…