Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mradi ulikua tayari kwenye preliminary stages, Magufuli angekua leo na ujenzi ungekua tayari umeanza

 
angalieni hata followers kuna kitu mutagundua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani mkenya amfundishe mtanzania juu ya scania hehe
 

ongea Mkunya nairobae ulikuwa ulisema nn jana?
Nilikuambia US is the number one source for tourists visiting Kenya. Over 130k US tourists visited Kenya in 2021. Nilikuambia ulete same data ya bongo ukashindwa ju utapata aibu kubwa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
yani kisumu ifananishwe na arusha acheni tu yesu ashuke aje kufungua macho ya wakenya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kisumu ninayoijua mm eti Teargas
Jamaa kanaogopa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nimekuambia tuanze battle lakini wewe kazi yako ni maneno tu.
 
Jamaa kanaogopa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nimekuambia tuanze battle lakini wewe kazi yako ni maneno tu.
mm niogope kisumu au ww kisumu utanidanganya nn hebu niambie ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sasa unapingana hadi na Scania wenyewe? Wewe kweli mwehu. Huoni hata hiyo ni Twitter handle ya Scania? Unafaidika nini kwa kuwa mbishi kwa kila jambo?
nimechekaa sana leo nioneshe assembly plant ya scania nje ya south africa kwa africa hii nifunge acc sasa hvi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ munataka sifa za kipuuzi kwa kitu hamuna
 
Sasa unapingana hadi na Scania wenyewe? Wewe kweli mwehu. Huoni hata hiyo ni Twitter handle ya Scania? Unafaidika nini kwa kuwa mbishi kwa kila jambo?
na ukipata nje ya south africa unitag๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Scania lories are being assembled AVA Mombasa, lorries zinakuja Tz pia zinakuwa assembled uko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ