Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ungekwa na eulewa kuliko hiyo yenye uko nayo, ungeelewa nolichojaribu kumaanisha. Unfortunately you don't
Nimekuelewa sana tuu.Ndio maana nikaamua kukaa kimya.
Ila nimekuelewa.
Na kcheka sijamaanisha umaanishavyo weeye
 
Nimecheka sana dah, yaani nchi nzima wamelishana matango pori [emoji3][emoji3][emoji3]
Nchi nzima imeingia chaka
🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani me mwenyewe nacheka mpaka saivi 😂😂😂😂

Bongo movies ipunguze uhalisia kidogo, wao wanaigiza, kunyaland police force inareport kama murder case 🤣🤣🤣🤣 tena jina la eneo, mtuhumiwa na arresting warrant tayari wanavyo 😅😅😅
 
Kwani RITES ile ya India ilikuja na behewa? Si tuliipa kila kitu chetu
Rites walikodishiwa behewa za TRC duniani kote reli huvunjwa katika sehemu 3 njia ya reli, signalling na rolling stock. Sasa njia ya reli na signalling ni vya serikali ila kila mtu anauwezo wa kuweka rolling stock zake juu ya hiyo reli na tukashindana pamoja na TRC katika kutoa huduma. Na mtindo huu haushii kwenye reli tuu hata kwenye umeme kuna generation, transmission na distribution sasa unaweza ukawa na distributers wa umeme wengi ambao wanashindana kutoa huduma bora kwa faida ya mteja. Distributers kazi yao kuuza umeme kwa wateja na kulipia gharama za generation na transmission hivyo hivyo kwenye reli naweka vichwa vyangu na mabehewa yangu natoa huduma kwa wateja halafu nalipia kutumia njia ya reli na gharama za signalling
 
We acha ubishi mkaka sijui mdada.
KIGAMBONI INA MISITU YA KUPANDWA MINGI KULIKO NAIROBI YOTE.
KIGAMBONI APARTMENT ZAKE ZA WATUMISHI ,NSSF NA AVIC TOWN KOTE KUMEZUNGUKWA NA UOTO WA ASILI.
NA NAN KAKUDANGANYA MASAKI NDIO MTAA WA KISHUA PEKE AKE?MBEZI MAKABE,MBEZI BEACH,TEGETA,KIGAMBONI (KISOTA,MWONGOZO,AVIC,) UNAPAACHAJE?
ACHA KUKARIRI MAISHA
 
Who lied to you that poverty levels in Africa are the same? There are 28 million people living in extreme poverty in Tanzania. This is not the same case with SA or Kenya for instance
Acha uwehu nimekuandikia in simple lay man terms. Labda ni seme the difference is statistically insignificant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…