Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni haki wakenya kutunanga kuhusu suala la umeme [emoji52].. tatizo lililopo saiz sio power rationing.. ni uongozi uliopo! inakera ila basi tu.. nasubir 2025 nione mambo yatakavyokuwa
Unasemaje sio power rationing wakati tanesco wenyewe wanasema hivyo? Do you know better than tanesco? Shida ya umeme mmekuwa nayo tangu jadi coz even your production level is way below for a country of 60 million people. Hata sisi tunagenerate umeme nyingi kuwaliko. Sijui zile electric train zenu mtatumia makaa kuziendesha ama mtazisukuma kama mwendo ni huu wa power rationing!
 
Umesahau social classes za Sukumagang sio? kupewa miradi ya taasisi za kitaifa kuifanya level ya Halmashauri kinyume na sheria za nchi? Umesahau watu waliporwa fedha na sukumagang na hat hazikuingizwa serikalini, ule si ujambazi? Dotto James atueleze fedha za Bureau de Change zilizofungwa zilienda wapi? Mbona hamna records?
 
Unatamani ingekuwa hivi lkn ndio haiwezekani kukuwa hivi (in makenya voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])

Tz hakuna power rationing na haitokuja kutokea, hilo suala la power rationing lilikuwepo enzi za Kikwete na Mkapa cz enzi hizo kulikuwa na upigaji (hasa enzi za Kikwete) wala hakukuwa na uhaba wwt kupelekea power rationing, kinachotokea kwa ss ni watu fulani bado wanataka kufidia ufisadi walioukosa enzi za Magu na hawatoweza nisikilize mm.
 
I realized your Intelligent Quotient is abit low,so I'll decide to just ignore your reply.
until unanionyesha ramps kwa modern international airports! Kwani mnapitisha ngamia ama? Truth to be told, Design ya uwanja wenu ni Medieval era!

Hapa Mauritius sioni!
Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport



Hapa jnia sioni



 
Nasikia Kenya kuna ukabila? Kumbe sukumagang nayo ipo! 😂 😂 maajabu ya Musa
 
Mbona kwa kukana vitu tushwazoea? Denial is in your DNA bongolalas. Sasa wewe unakana mgao haipo wakati tanesco who are responsible for your country's power generation, wanasema rationing ipo. Sasa wewe hapo Tandale unajua kuliko viongozi wa tanesco?
 
Aisee wapi hii Kawe au? Nicxie akiona hivi Mavi yanagonga chupi yanarudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mr degree, miradi kama hii yamejaa Nairobi. Hizi boxes na dormitories are everywhere you look in Nairobi. Yani Ni mambo tumezoea huku Nairobi coz yalianza kitambo. But we understand why it's a big deal uko kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…