Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naibu waziri tanzania anatumia V8 wakat waziri kenya anatumia prado 150😂😂😂
View attachment 2098350
only in africa where you pride yourselves in having cabinet secretaries splash taxpayer’s money on the latest high-end fuel guzzlers while the ordinary taxpayer doesn't have access to electricity





 
Hawa vilaza hutia huruma sana. Yani mtu anafurahia serikali kumpa naibu waziri gari ya kifahari wakati wananchi wanapata stima kwa mgao. Sasa hiyo gari kubwa aliyopewa huyo waziri inasaidiaje mtanzania ambaye kesho na keshokutwa hatakuwa na stima coz of power rationing occassioned by the same leader in that fuel-guzzler? Akili ya kitanzania sijui inareason aje!
 
wacha hata rationing, hawananga stima on normal days, sasa wana ration nini kama hakunanga power? page ya tanesco pale twitter ni total drama🤣🤣
sijui “burret treni” zao wata power na coal ama … i bet records shall be broken 😂😂
 
Naona unajifurahiisha mwenyewe 😂😂 mkunya bhana
 
😂😂😂 Unaijua kisumu.? Haitoboi hapo hata gorofa zote zipakwe rangi
Put some respect to Kisumu, you can`t compare that village with Kisumu. Kisumu is clean with paved walkways throughout unlike Arusha where walkways are full of mud and dust.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…