Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ju sioni haja ya government officials kupewa magari kubwa na most hutumia in urban areas tu.
Ninyi ndio hutumia urban areas tu sababu waziri kwenu ni mtu wa office na ufisadi, Tanzania waziri yupo field daily, Tanzania ni kubwa sana kwa week waziri anaweza kufanya safari zenye jumla ya kilometers 4000 na hapo katembelea mikoa michache tu, ataenda na rav 4?
 
Serikali yetu ikona Land Rovers na Land Cruiser 76 series mingi sana. Hizo ndio gari za kufanya field work.
 
Ipo siku nipo Dodoma, saa 2 kapita PM kwa speed kali, saa 6 namuona kwenye TV anahutubia Njombe (km 500 from Dom) by saa 12 nauona msafara wake Dom kwa speed ukirudi.
 
Mwalimu wa shule ya msingi bongo ndio civil servant anaelipwa mshahara mdogo kabisa pitia hapa 👇
 
Hela ya kenya ina nguvu EA nzima, elfu moja ya kenya ina purchasing power region nzima hii alafu eti uje unitajie tsh mimi..
Tsh nenda nayo burundi hko ndio utatamba
Je ili iishe hiyo elfu moja kwa kenya kimatumizi unaweza kununua vitu gani?

Come back nikuenjoy
 


MY TAKE
Huu upuzi mpaka lini? mbona wasijipange? inakuwaje maintanance inasababisha umeme kutokuwepo?
 
Deal ya South Korea vipi tena?..,
Na zenyewe zitakuja kati ya 2023 au 2024. Hizi za Germany tuliweka order mapema kabla ya Korea. Tunahitaji Locomotive na wagons nyingi hivyo hatuwezi kumpa tenda yote manufacturer au Supplier mmoja tu atatuchelewesha. AU UMESHASAHAU HII BOMBARDIER TALENT 3? ANGALIA KITU HICHO

 

UON IS THE BEST UNIVERSITY IN EAST AFRICA AND POSITION 10 IN THE CONTINENT.​

JUL
29
2020
0
By okachi

UON
The latest Webometrics(July 2020 Webometrics) ranking of world universities has named University of Nairobi as the best University in East Africa and position 10 in Africa.
University of Nairobi is also among top 1000 best Universities in the world after it was ranked position 956.
Webometric ranking focuses on four parameters namely Presence, Impact,Openness and Excellence. In the four parameters , the UoN is position 198 in the presence rank, 1075 in impact, 749 in the openness rank and 1602 in excellence. The Ranking Web or Webometrics is the largest academic ranking of higher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…