Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya 60% ya watumishi serikalini wanapata chini ya Kshs 30K, ndio sababu mnakufa kwa njaa.
I am sure if this purpoted list is something to go by.......tanganyika is worse as always......Bring me the updated salary scale of civil servants in Kenya and tanganyika then I'll listen to your machinations
 
Wivu, 😆😆😆😆, kwani alizowapa mkuu wa Mkoa wa Dar kujenga masoko ya Jangwani alizitoa wapi?

Mume wenu mwendazake alioanzisha huo utaratibu mlikuwa wapi kumuuliza alikozitoa pesa? Kwa nini hamkumwambia kwamba ni Serikali inatoa sio yeye ila saizi mnawashwa washwa?..

Kwa taarifa yenu, serikali saizi ina pesa kama zote Kwa sababu sekta zote za Uchumi zinafanya vizuri..

Tulieni dawa iwaingie nyie sukuma gang.
 
Picha zote za Kisumu zilizowekwa humu ni moja tu ya hivi vijengo, lazima vionekane [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2097657
The same way picha yoyote ya Dar lazima zile gorofa tatu zitoke. So Kisumu na Dar ni mapacha
 
I am sure if this purpoted list is something to go by.......tanganyika is worse as always......Bring me the updated salary scale of civil servants in Kenya and tanganyika then I'll listen to your machinations
Mtanzania alipwe 500k bado anatoboa tena atafanya maendeleo sababu gharama za maisha Tanzania ni cheapest in Africa, sio kunyaland

Ghanaian confessing that

 
Rubbish
 
Hukusikitishwa na wizi wa til.1.5 uje kusikitishwa na kampuni ya kisheria, pumbavu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…