Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Way much better in what 😅😅 mm sioni mlichotuzidi zaidi ya njaa tuu huko, angalia nchi kama Morocco imetuzidi na 40B $ na tofauti yetu na wao inaonekana na ni kubwa sana in terms of infrastructure, health services na sekta zingine ila sasa nyinyi mnasema mko vizuri kushinda sisi wakati nyinyi Ndio mnaongoza kwa njaa, kwenye miundombinu tumewazidi kwenye ubora wa huduma za kiafya uko Ndio tusiguse kabisa na sekta zingine kibao tumewazidi sasa nyinyi hamuoni aibu na gdp yenu ya makaratasi iyo😂MY FRIEND...DO YOU KNOW HOW MUCH IS 40 BILLION DIFFERENCE????
WE ARE WAY MUCH BETTER...ASK BABA LEVO...HE WAS SHOCKED WHEN HE CAME TO KENYA....NA YEYE HUWA MBISHI SANA...LAKINI ALIPO KUJA HUKU ...ALIKUBALI MWENYEWE.....
$3.4 mln mbona ndogo sana ukilinganisha na potential za South Sudan, chakula pekee tunaweza kuuza mpaka $200 mln and above!Kuna report niliona mwaka Jana mwishoni, Hawa SS tunawauzia sana ila sisi hatununui kitu kwao.[emoji23][emoji23][emoji23]
SOUTH SUDAN
Export: $3.4M
Import: $0
Kuna nchi nyingine hapa EA inaenda kuwa kama SS.
unajua kila nchi huwa na changa moto zake...etc...ninachosoma hapa ni because of tanzanias negative attitude towards kenya..huwa serikali na media zenu hazitangazi maendeleo ya kenya ila mambo kama njaa etc...just the way western countries like to potray africa...but kwa kiukweli ingekuwa tz media inaonyesha na kutangaza kiukweli maendeleo ya kenya...hapo ungejua sisi ni kina nani....wakati Rais Suluhu alizuru kenya alishangazwa saana na maendeleo aliyojionea...akashinda akisifu uzuri wetu kila alipoanza hotuba zake...tafuta hotuba zake you tube ujioneee... naye baba levo alipokuwa huku juzi alishangazwa sana na maendeleo ya kenya...mimi namjua baba levo alivyo mbishi and very outspoken..yule sio mtu wa kusema eti amfurahishe mtu...lakini alipigwa na butwaaa. Na bila aibu au haya ikambidi akiri ukweli mbele ya redio staion akisikika TZ yote....unadhani kenya ni mchezo ili imshangaze baba levo kiwango hicho??Way much better in what 😅😅 mm sioni mlichotuzidi zaidi ya njaa tuu huko, angalia nchi kama Morocco imetuzidi na 40B $ na tofauti yetu na wao inaonekana na ni kubwa sana in terms of infrastructure, health services na sekta zingine ila sasa nyinyi mnasema mko vizuri kushinda sisi wakati nyinyi Ndio mnaongoza kwa njaa, kwenye miundombinu tumewazidi kwenye ubora wa huduma za kiafya uko Ndio tusiguse kabisa na sekta zingine kibao tumewazidi sasa nyinyi hamuoni aibu na gdp yenu ya makaratasi iyo😂
Hii yenyewe Virgin + Kilimanjaro ni marketing ya nguvu! Angalia ilivyotrend hapo all balloonists wameona mchongo Tanzania.sasa ww hutaki aje tanzania au 🤣🤣🤣
alooo wakenya munaroho mbaya sana View attachment 2096947
Wap Mt Kunyaland challenge?alafu sijui shida ni kutoelewa lugha ama??
hakuna mahali imesema Richard Branson alikuwa Tanzania, ila ni Baloon yake ya Virgin Baloons, mwenye alifly huko ni David Bareford, someni kwanza muelewe msijiaibishe 🤣🤣🤣
View attachment 2096697View attachment 2096698
Hehehehe hapa umemaliza mkuu nasubiri bitter reaction ya kuponda nchi, nitaiponda sn mana nyie watz c hamkubaliani na mawazo yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?
Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
Hii kitu inaenda zaidi ya 15 years haijakamilika toka enzi ya Kibaki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimetaja baadhi ya adhabu na nimesema na nyinginezo kulingana na mazingira ya utendaji kazi, Sasa wewe unechagua hiyo Moja pekee. Mkuu wacha hizo kaka, japo ni haki ya kila mtanzania kusafiri na kwenda popote anapotaka, lakini ni kichaa pekee anayeweza kusafiri toka Dar hadi Mwanza bila sababu za msingi eti sababu kubwa anatimiza haki yake ya kikatiba ya "freedom of movement"
Nje ya hii broken uliyoongea hapa hakuna point umeweka, hebu jibu swali wacha kurukaruka na hizi lugha za watu, have u understood what he tried to mean?I know the principle behind his reasoning., I don't observe the conduct as such, I deduce the underlying principle behind the conduct bro, am reacting to the principle at play, what u ain't seeing.., nawajua vizuri sana.,
Yeah katiba inaruhusu ww kuongea unachotaka mradi usivunje sheria lkn pia unatakiwa ukubali criticism na uzi handle kwa kujibu pasipo kuwa na mawazo kwamba njia kamili ya ku handle criticism ni kuponda.Katiba ya Tanzania inatoa absolute freedom of speech, sio partial. Kwa hiyo nita-exercise haki yangu vyovyote niwezavyo. If you can’t handle that then piss off.
Samia pesa katoa wapi za kuipa NHC? Huu upuuzi wa media kusema president katoa pesa ni ujinga tunaoukumbatia miaka nenda rudi, huu ni ujinga.
Hahaaa!!naona na wewe umeanza kuzinduka baada ya kumsifia magu wakati wa uhai wake alikua akitembea na vibunda vya hela...Samia pesa katoa wapi za kuipa NHC? Huu upuuzi wa media kusema president katoa pesa ni ujinga tunaoukumbatia miaka nenda rudi, huu ni ujinga.
Zingatia kwamba sijasema wewe Geza ndio mjinga bali nimesema media ndio zina huu ujinga ambao nmekuwa nikiukataa miaka mingi wa kusema eti Rais ndio katoa pesa badala ya serikali ya Rais.... Ndio imetoa pesa. Unajua impact ya huu upumbavu unaokumbatiwa na media ni kubwa sana, na ndiyo inatengeneza dictatorship kind of rulling.
Silaumu wananchi nalaumu viongozi wa Kenya kwa kukosa ujasiri wa kuja kuomba msaada Tanzania mpaka madhara yanatokea
infact $41B is the whole uganda+rwandaMY FRIEND...DO YOU KNOW HOW MUCH IS 40 BILLION DIFFERENCE????
WE ARE WAY MUCH BETTER...ASK BABA LEVO...HE WAS SHOCKED WHEN HE CAME TO KENYA....NA YEYE HUWA MBISHI SANA...LAKINI ALIPO KUJA HUKU ...ALIKUBALI MWENYEWE.....
Media na Amani wapi na wapi, kurukaruka tu km kawaida yakoKenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?
Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
GDP imara lazima iwe ina reflect maendeleo ya nchi, huwezi kuwa na GDP kubwa kuliko Tz then Tz inakuzudi kila mahali ktk miradi mbalimbali, miradi tunayofanya ni sawa na miradi yote ya EA na bado hamfikii thamani ya projects zetu.infact $41B is the whole uganda+rwanda
ie. Tanzania+Uganda+Rwanda=Kenya
japo watanzania wengi humu hawatakubali facts
yani wanawivu sana hawa jamaa 🤣🤣🤣🤣 niliwaambie huo mlima unaingiza hela nyingi sana kuliko masai mara na tsavo combinedHii yenyewe Virgin + Kilimanjaro ni marketing ya nguvu! Angalia ilivyotrend hapo all balloonists wameona mchongo Tanzania.
Hizi generator mmenunua Tz.