The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwenye suala zima la usafiri tumewaacha mbali mno.leo hii wanashindana na tanzania kwenye meli kubwa ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teargas hii mada wachana nayo budaa
Kwenye suala zima la usafiri tumewaacha mbali mno.leo hii wanashindana na tanzania kwenye meli kubwa ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teargas hii mada wachana nayo budaa
we ain't even sure if those ujamaa villages are towns...........mwanza yenyewe is just a complete slum
Rais Kikwete hakuanzisha BRT, kuanzia feasibilty study ya jinsi ya kutatua msongamano wa magari Dar, mpaka mchakato wa kutafuta mkopo ulianzishwa na awamu ya 3.Hakuna mnachokijua kuhusu siasa,Mkapa alianzisha miradi,ikamaliziwana kikwete,Kikwete akanzisha miradi Kama mwendokasi,Kigamboni bridge,TAZAM highway,Terminal 3,seokndari za kata, nk.Magufuli alianzisha miradi pia,na Samia ataanzisha miradi itamalizwa na ajaye na ajaye atamaliza na kuanzisha mirad
Ana ngombe mia kadhaa hyo, yani ki utajiri humfiki sema tu fikra zake bado ni za 19th century...Kuliko hawa?
![]()
![]()
Moshi ile ile ya kilimanjaro[emoji1787][emoji1787]oneni kisumu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kwa moshi tu haitoboi
Maskini hawezi mudu madeniStronger kwenye kutake loans?
Unataka battle ya meli na tz 😂😂😂 au unajitia ukichaa tu usiokuwa nao, haya futa haraka huu uongo wakoThe biggest ship in East AFRICA IS mv Kabaka Mutebi from Uganda followed by MV Uhuru 2, hiyo yenu sidhani hata kama inapatikana top5.
Wachana na moshi kabisa bablai, Kisumu haitii pua kwa moshi, kivyovyote, labda kwa kuzidi kuwa na zile calvat.. otherwise Kisumu si chochote kwa MoshiMoshi ile ile ya kilimanjaro[emoji1787][emoji1787]
Hapa umechemka, yani ungeliruka tu kuliko kujibu kibwege hvi[emoji1787][emoji1787]Same way you are in JF 24/7 to counter tweets that can massage our egos
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣BTW Safaricom Kenya ina less than 5% direct shareholding in Ethiopian Safaricom!
unaleta picha ya 2016?? GIZA the desperate wank&r🤣🤣🤣🤣
Moshi haswa[emoji1787][emoji1787]Wachana na moshi kabisa bablai, Kisumu haitii pua kwa moshi, kivyovyote, labda kwa kuzidi kuwa na zile calvat.. otherwise Kisumu si chochote kwa Moshi
We pumbavu nn, ulikuwa wapi wkt Kisumu inapokea kichapo toka kwa Arusha.Moshi haswa[emoji1787][emoji1787]
Itakua unaugua sio bure
ignorant dimwit 😂😂Kenya GDP = $97B
Kenya total debt = $106B
🤣🤣🤣🤣
Wacha huu ujinga haraka sana.Hakuna mnachokijua kuhusu siasa,Mkapa alianzisha miradi,ikamaliziwana kikwete,Kikwete akanzisha miradi Kama mwendokasi,Kigamboni bridge,TAZAM highway,Terminal 3,seokndari za kata, nk.Magufuli alianzisha miradi pia,na Samia ataanzisha miradi itamalizwa na ajaye na ajaye atamaliza na kuanzisha mirad