joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, nchi inayoendeshwa kwa mikopo, GDP kubwa yote inaishia katika Bank accounts za Uhuru Kenyatta na mama Ngina, Mchina alipokataa kutoa mkopo reli imeishia msituni, Failed state indeed [emoji38][emoji38][emoji38]Yeah mnaskua vibaya huwa mnanyimwa loans raisi wenyu alifukuzwa kama burukenge alipo Enda kuomba loan ya dam akiaribu heritage