Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791

Vitu tulifanya kitamboo slumber wa Kunyaland ndo wanajua leo (In Kunyan voice)!Hizi billboard kwenye kila kituo , Kuna watu wamebandika tatu ukutani mjini hadi tuliletewa hapa
View attachment 2093859
Kiroho kinakuuma unatamani ukafute kilichoandikwa 😂😂😂un
until they visit and get a shock of their lives.....lol.....we appreciate nice cherry picked photography though
Basi hapo roho inakuuma unatamani uje uivunje 😂😂😂 Dah.! Jamaa mko na roho chafu sanaWafadhili leo wanarukwa peupe
Maskini wa japan, leo wachawi wanawakana
Hizi maumivu unasimulia nani hapaaa we kzuuukuangalia picha yenyewe unachosha tu mtu
We dada mbona ni vilio kila wakati?un
until they visit and get a shock of their lives.....lol.....we appreciate nice cherry picked photography though
Dar-is-a-slumun
until they visit and get a shock of their lives.....lol.....we appreciate nice cherry picked photography though
Mji wa Kiserikali DodomaView attachment 2093782
tz imebobea sana katika hii fani ya usanii na usanaa. kila kitu mwakemwake babaake!View attachment 2093797
Hapa panafaa ukiwa na masters yako sio MD chronic utatumwa kazi wakubwa wanaweka hela mfukoniBenjamin William Mkapa hospital DOM, leo nimeona niwatolee uvivu kidogo ..kenya mnashangaa sisi kuwazidi kwenye suala la huduma za Afya.?Tuliwekeza imagine hii ni gvmnt owned hospital, inafanya transplant kibao na ni hospitali ya juzi tu tangu ifunguliwe it has less than 5 years, nje ya NAIROBI tutawapiga mpaka mnakufa ona vile inakaa international levels
View attachment 2092656View attachment 2092657View attachment 2092658View attachment 2092659View attachment 2092660View attachment 2092663View attachment 2092664View attachment 2092665View attachment 2092666View attachment 2092675celebration of first kidney transplant
View attachment 2092677View attachment 2092678View attachment 2092679View attachment 2092680View attachment 2092681View attachment 2092682View attachment 2092686
Maybe big thing in Tanganyika😄😄😄😄😄dodoma yenyewe haina at miundo msingi za kutajika hapa East AfricaMkuu hapa sio mji wa kiserikali, hapa ni somewhere Makuru where some of the government organizations ziko hapa,
Mfano BOT, Hazina, NBS, NHIF, Pharmacy Council NK,
Mji wa serikali Upo Mtumba njia ya Morogoro, ukipita nanenane..na kule sasa ndio kufuru inafanyika, nguvu ya gdp inadhihirika
Dodoma is the Next big thing in East Africa