ni wazi, tanganyika inaonekana kujenga miradi mikubwa sana ya kimataifa, kama vile sgr, ili ionekane maarufu, ili ipate chakutishia nchi za africa, sanasana kenya.. na ilhali uchumi wao ni uleule mdogo haiwezi ikasitiri hayo yote kwa mmda mrefu. punda itachoka in less than 5yrs from now, get my word..
sisi tunajenga miradi zetu kwa ustaraabu pasipo kujikaza saana.. tunajenga miradi inayo endana na uchumi wetu. hatuoni machungu kwa ujenzi wa miradi kama nyinyi..
huwaga inasemwa.. "kill what you can eat"