MY WORRY FOR THEM IS WHEN WILL IT START ITS OPERATIONS????????Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train [emoji1787][emoji1787]If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
Kumbe geza uko na akili[emoji1787][emoji1787]serikali iache usengeee wa kutumia mifumo ya watu wengine kama upumbavuu tulio ufanya tanesco ya makamba kwa kuingia mkataba wa $30mil kwa ajili ya mfumo unao endeshwa na mabeberu very stupid ,mifumo yote ya namna hiyo inatakiwa kumilikiwa na serikali kwa 100%
Umesikia tu umbeya. 😂 😂 😂 ., very functional and serving us well.., how about yours?..,hzo sindio zile used za spain mulizochakazwa bei au 😂😂😂😂😂😂 naskia zimeanza kusumbua kwakifupi ni mbovu
Tanzania hatuna bigger power problems ....bali tanzania kwa sasa hata nyinyi wakenya mnajua kuwa hatuna Rais na tulichonacho ni mfano wa rais ndiyo big problem tuliyonayo kwa sasa ,ila very soon tuta clear ili tatizo la kukosa Rais ,Juzi mliongelea sana kuhusu nationwide power outage that occurred in Kenya that was caused by a technical hitch. Mlisahau you have bigger power problems to deal with [emoji23]
akili yako inakutosha mwenyeweTanzania hatuna bigger power problems ....bali tanzania kwa sasa hata nyinyi wakenya mnajua kuwa hatuna Rais na tulichonacho ni mfano wa rais ndiyo big problem tuliyonayo kwa sasa ,ila very soon tuta clear ili tatizo la kukosa Rais ,
BRT ya kenya ni show off tu haitakuwa na tija kwa slum people ni kama ile barabara ya juu inayo milikiwa na beberu ,sasa kwenye brt kenya itakuwa ni kama pambo tu la kuitangaza kenya bei ya nauli itakuwa juu sana hivyo siyo huduma ya jamii bali ni kama kitu cha anasa kwa wakenya ni kama,zile treni za mitumba mlizo nunua zimekuwa na manufaa kwa wachache hadi treni zimeanza kupata kutu kwa kukosa wateja
Lengo la BRT YA KENYA SIYO KUHUDUMIA JAMII YA WANANCHI WA KAWAIDA WA KIBERA ILA WANAJENGA KWA LENGO LA KUZIBA GEPU TULIYO WAPIGA NI SHOW OFF TU ,bei ya tiketi itakuwa juu sana hivyo kuwa kwa ajili ya wakenya wachache ,BRT au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Iyo GDP ya $160b mkifikisha mwaka huu mtakua mmekua kwa 50% just from negative growth,it sound like you have no idea what is going on in your country or wewe ni mjinga sana kuongea ivyo...besides we're all 4th world countries you have no any difference with Tz4th world country obsessed with electric train......meanwhile our 130km per hour rail will also be mainly used for cargo......
target is clearing 5 million containers by end of year.While you brag of the unfinished imaginary electric crap we are increasing our trade volumes.......Will have our GDP at 160 by year end while you still linger below 70......the dar port only clears 420k containers a year.......Tanzania is a classical example of putting the cart before the horse
Izo ni wishes za kijinga,from tz hamuez kujenga sgr to hamuwez kununua electric trains to hamuwez kununua ticket inaonyesha mmeshapoteana...na nani kakwambia watz hawawez kulipa?Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train [emoji1787][emoji1787]If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
Ujuma iliyokuwa inafanywa ya kumwaga maji na kuharibu mitambo ndiyo inayo fanyika sasa TTCL hadi makampuni binafsi yana tunyanyasa kwa kutuwekea MB watakavyo wao mabosi wa ttcl wanatumika na makampuni binafsi kukwamisha ttcl hii ilifanyika hata kwa reli ya tazara na wenye magari ya mizigoMaji yanamwagwa usiku mzee Magu alishasema, alafu mmwaga maji kwa ss ndiye mwenye wizara.
😂😂😂😂😂😂😂😂 kaka umenifanya nikutukane kimoyo moyo eti "multi billion ultramodern stadium in EAJomo Kenyatta international Stadium in Kisumu
Super ultramodern mega multibillion most developed stadium in East Africa
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kunyans never cease to Amaze for sure,
View attachment 2083521
View attachment 2083522
View attachment 2083523
MY TAKE
Miradi ya mwendazake jengo linajengwa na slaughter machine zinawekwa ila cold room haziwekwi kwenye mpango! Huku jamaa akiamuru uchinjaji machinjio ya zamani ufanyike bure! Tungoje machine kupata kutu! Mara airport ya Mwanza inajengwa na halmashauri bila usimamizi wa TAA!
Yaani unajiuliza tena Watanzania kwenye kusafiri? Unajua nauli ya kutoka Mwanza kwenda Dar ni shillings ngapi? Tena kwa masaa 15 kwenye gari na wanalipa zaidi ya hiyo ulioandika, na gari hazitoshi ndio maana kila siku fleets mpya zinaingiaDo they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train [emoji1787][emoji1787]If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
Meanwhile nchi kama Madagascar wapo wanaokuja kutibiwa hapa Muhimbili matibabu ya moyo.By Magufuli
Do they even question the fare rates on their so called electric trains lol.....watajaza magunia ya dagaa kwa electric train [emoji1787][emoji1787]If they charge 2000 bob equivalent to 40000 tsh how many ordinary tanzanians will afford......China has tried to build modern ghost cities to compete with the western world but they remain ghost cities because majority of its citizens can't afford to stay there. In the long run mtagundua nani alichezwa......
🤣🤣🤣🤣🤣Umesikia tu umbeya. 😂 😂 😂 ., very functional and serving us well.., how about yours?..,
Huoni hapo mama ndiyo wa kulaumiwa? Magu siyo kama alistaafu, balia alifariki akiwa bado madarakani. Rais wa sasa alitakiwa kuhakikisha machinjio hayo yanapata vifaa nyote.
MY TAKE
Miradi ya mwendazake jengo linajengwa na slaughter machine zinawekwa ila cold room haziwekwi kwenye mpango! Huku jamaa akiamuru uchinjaji machinjio ya zamani ufanyike bure! Tungoje machine kupata kutu! Mara airport ya Mwanza inajengwa na halmashauri bila usimamizi wa TAA!
Mimi ijumaa usiku huku mbezi beach nlipoona umekata nakurudi then ukakata tena, nkazima main switch tukaenda kulala. Nimezinduka saa tisa usiku nkaona kwa majirani kuko sawa ndio nkawasha main switchJana vitu vya watu vimeungua sana umeme ulikuwa umekatwa na kurudishwa ukawa unapanda na kushuka mimi niligundua mapema nikazima vitu baada ya kuona feni ikiongeza speed , juzi nimeunguza adapter ya laptop yangu ,yani ni hatari ,huyu mjambiani ni mpumbavuuu sana anatualibia nchi ,bila shaka miezi 8 kutoka sasa hali ya uchumi itakuwa mbaya sana