The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Sisi hatuna tatizo la umeme bali tuna tatizo la viongozi.Juzi mliongelea sana kuhusu nationwide power outage that occurred in Kenya that was caused by a technical hitch. Mlisahau you have bigger power problems to deal with [emoji23]
Ipo siku atapewa heshima anayostahili na co mbali kutoka sasa.
Maji yanamwagwa usiku mzee Magu alishasema, alafu mmwaga maji kwa ss ndiye mwenye wizara.Ebu tueleze mkuu nini tatizo huko maana walisingizia kina cha maji kimepungua ila mvua zimewaumbua
Hii league hamuwezani wazee. Benjamin Mkapa hospital Dodoma 👇kionjo tu za hospitali zetu chache kwanza...
safari bado. eti jiwe la moto alidai eti tanganyika iko kipao mbele kwenye swala ya mahospitali.!? jambo ambalo niliipuuza kabisa!
View attachment 2090939
View attachment 2090940
View attachment 2090941
View attachment 2090945View attachment 2091008
View attachment 2090942
kakamega refferal👇🏽View attachment 2091003
and yet these Bongolalas are bragging about exporting raw unprocessed food across the region....while Kenya processes it and exports to the rest of the region. they wonder why Kenya commands 38% of the EAC economy with a smaller population
What? 😂😂😂
We una Maisha yapi?C wanapenda sifa za kijinga, amini nakwambia mkuu wakunya wangekuwa na maisha kama cc watanzania basi humu ndani pangewaka humu.
Hujaona wakisema? Yani jamaa kapiga picha kapuliza sijui ni hicho cha white Waseem wanaamini kuna snow Dodoma. Jana nimecheka yangu yote.🤣🤣🤣What? 😂😂😂
Dodoma can get pretty cold, but snowfall is virtually impossible to occur in that part of the country.
Hiyo picha no edit tu. Hakuna snow Dodoma. Kama ingekuwepo it would have been all over the news. Ina Maana kuna watu wameamini kuwa hiyo picha ni ya kweli?Hujaona wakisema? Yani jamaa kapiga picha kapuliza sijui ni hicho cha white Waseem wanaamini kuna snow Dodoma. Jana nimecheka yangu yote.🤣🤣🤣
Wewe unapost wasanii Sisi tunaweza jipost wenyewe hiyo ndo tofautiVile wasanii ambao hawana hata shule kichwani wanavyotengeneza pesa mingi Tz baadhi ya picha za Diamond Platnumz akiweka mitonyo benki👇.. dyfre njoo hapa ujifunze vile unafaa kufanya uki claim kuwa uko na pesaView attachment 2088699View attachment 2088700 View attachment 2088708
View attachment 2088701
View attachment 2088707
Yani nimecheka yangu yote. Yani Mt. Kilimanjaro na Mt. Kenya zilivyo baridi hivo zinapoteza snow alafu mtu anaamini Dodoma kuna snow.🤣What? 😂😂😂
Dodoma can get pretty cold, but snowfall is virtually impossible to occur in that part of the country.
Which raw material do you process and sell to other countries, remember Tanzania is the biggest Exporter and biggest source of imports to all other countries including Kenya, mention any finished goods Kenya sells to other Countries that makes Kenya to be a manufacturing hub in this region.and yet these Bongolalas are bragging about exporting raw unprocessed food across the region....while Kenya processes it and exports to the rest of the region. they wonder why Kenya commands 38% of the EAC economy with a smaller population
keep flapping your gums or feel free to argue with the facts either way you're a delusional idiotAs for now, There is no single item produced in Kenya that is not produced in Tanzania.
Mika ya 90s and early 2000s Tz imported most of its industrial goods from Kunyaland, but lately tables has turned…
keep flapping your gums or feel free to argue with the facts either way you're a delusional idiot
View attachment 2091123
4th world country obsessed with electric train......meanwhile our 130km per hour rail will also be mainly used for cargo......jamen wakunya, hii sio kituo cha kupoozea au kupokea umeme.. hii ni marshaling yard for SGR
View attachment 2090557
View attachment 2090558
View attachment 2090559
Mt Kenya toka lini ukawa na snow? Kama hivyo basi hata Mt Meru una snowYani nimecheka yangu yote. Yani Mt. Kilimanjaro na Mt. Kenya zilivyo baridi hivo zinapoteza snow alafu mtu anaamini Dodoma kuna snow.🤣
Tunajivunia vya kwetu..., sleek and classy.., yaani hii inaweza battle your SGR ni umeme tu imekosa, stations za MGR ni noma kushinda zenu za SGR., 😂 😂 😂 😂Kwenye SGR tumewapiga kipigo cha mbwa koko, hawaleti tena ile upgraded MGR yao humu we ngoja uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]