Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rupurupu so far ni ngapi....... ksh 491,201.....
(Pesa ngapi ya tanzania Tsh 10,315,221)
(in SI Unit Tsh 1.03×10⁷)
ni mingi ata kuliko hii picha ya hapo awali👇🏽
 
Ndo nini sasa hawa polisi wa Dodoma? Kwa nini wanapoteza pesa ya mafuta kuwaongoza, badala yakuwapiga tochi na kuwapa faini kubwa ili wasirudie?

Labda kila DTO anaandaa wasimdikizaji hadi wavuke eneo lake na mwingine ana mpokea. Mfano Kimara hadi Kibaha, wa kibaha hadi mbele huko etc.
Ila kama wanawasindikiza toka Dom hadi Dar hilo wese la LC watakalopoteza ni utopolo[emoji1787].
 
Wakenya wanapenda sana show off, bahati mby Mungu aliwanyima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
zile ni pesa taslim za kenpaulite, zangu ziko kwenye benki. tumekomaa zaidi kusema uongo.
👇🏽hii ilikua tu mfano, singesema hivyo kama sina hela. i knew what i was doing
 
We jamaa unachekesha, yn vocher imechoka kweli kweli cjui umeiokota wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
My fellow countrymen.....don't be lured to expose your personal details over here.....the words of these haters will add or subtract nothing from your life
Personal details za nani, hizo alizoweka hazito mu affect yeye bali zitamu affect mwenye accnt.
 
We jamaa unachekesha, yn vocher imechoka kweli kweli cjui umeiokota wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
baaaasss... kelele za chura sasa hio. @Teagas hebu njoo uone hii post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…