Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila bro The best 007 umejua kuniumbulia hizi mbwa leo, hawa wangese ni waongo sana [emoji23][emoji23][emoji23] na wanatudanganya vingi mno, huwa najiuliza ni kwanini wanafanya hivi .? Ili iweje .?
C wanapenda sifa za kijinga, amini nakwambia mkuu wakunya wangekuwa na maisha kama cc watanzania basi humu ndani pangewaka humu.
 
2018 sisi tuko na 3.6b nyinyi 2020/2021 ndio unaleta hio data 🤣🤣🤣🤣

miaka mitatu mzee ni mingi sana 😂😂😂 hapo bado ile data yakupikwa haijapikwa vzr
 
Jiwe alikua mjinga, achana na wakenya. We are expressing what we saw.
Jiwe alikuwa MWAMBA wa miamba. Mjinga hawezi kuwafanya mfuke moshi kutoka matobo yote mwilini. Angekuwa mjinga mngempotezea.
The obsession that yall have with him is real and verrry alarming. Mnakuwa kama vile mna ugonjwa wa akili. Mkija Tz msisahau kupitia na Mirembe.
 
zikusanye kwanza zote ukiwa field, kuzipeleka bank sio issue, tutaenda tu baadae, hakuna mbio
@TheBest007. I was realy meaning the above 👆🏽statement.. ona, hii Cooperative bank ndio account ya rupurupu tu, alafu ya DTB bank account ndio ya salary. ndio nilikua namaanisha, DTB sikanyagi uko huu mwaka kwa imani ya bwana. wacha mshahara irundike uko hadi nipigiwe simu na bank manager. umesikia dogo. watch video, weka salio ya kutosha, sawa
Your browser is not able to display this video.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…