Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenifurahisha sana, sawa najua unapinga for the sake of battle, lakini unajua what's going on ..
wewe nakuambia ukweli, sipingi tuu, I base my arguments on facts, I belittle your reasoning and sometimes insult you only to lighten the debate, but all times I base my arguments on facts and truth, sio kama nyie ushabiki tu kila sehemu., kazi ni kupinga na kutetea kisicho kua ila kila kitu kiko wazi sana, yaani matako ya Tz yoote yako nje hayafichiki πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mtaa kama hii in Tz itakua ya matajiri mno.., hapa Nai ni among ya kawaida tu.., downside ni ati mnapark gari nje ya gate yako., two can't fit in the compund, in some estates one eats up the whole space, bro hustle zaidi uomoke, or move outskirts, go to estates along Kiambu road, Syokimau (Machakos), Kitengela ama maeneo za Kajiado, kuna estates kali kali na spaces kibao, expressway itapunguza jam(foleni) hautachoma mafuta sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
kwa ground vitu ni different [emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanzo kabisa palikua hivi.



Baadae hivi tukaweka mwendokasi ( BRT) hiko kituo kikafa tena hata vipanya vikawa haviruhusiwi kutia oua hapo( miaka mingi sana)




Magufuli kasema livunjwe hili jengo karibu na Kituo




Sasa hivi tunavyoongea pako Hivi.

 
Sehemu tunawazidi wakenya ni katika export values...Tz inauza Mali zenye thamani zaidi kuzidi Kenya....
Vipi kuhusu export trade, vipi kuhusu Agriculture sector, tourism, live stock, mining, fishing, and blue economy in general?.

Vipi kuhusu software politics Kama, stability, unity, peace and tranquility things which are priceless but an fundamental for any development?
 
Tourism tunavuna zaidi,mining hivi kenya wanamadini gani?hapo wala hawawezi,kilimo cha horticulture wanatuzidi,wanauza parachichi,chai kutuzidi,sisi tunawazidi kwenye mchele,mahindi,maharage nk livestock najua tunango'mbe wengi lakini wanauza na kunywa maziwa kutuzidi
 
Keshakasirika anaanza kuropoka sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilidhani magari mengi yanaletwa na vessel ya aina hii ingawa makontena pia huwa yana magari ndani.

Je hiyo idadi ya makontena ni makontena yenye magari pia?

View attachment 2086785
Anaongea pumba kinoma, ss makontena yanahusiana nn na magari, kwahiyo makontena ya mchele pia yanahesabika kama magari, aibu naona mm wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Keshakasirika anaanza kuropoka sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaongea pumba kinoma, ss makontena yanahusiana nn na magari, kwahiyo makontena ya mchele pia yanahesabika kama magari, aibu naona mm wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda ni mgonjwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Source by Africa facts zone owned by a single person [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, chai na kahawa sio "hot culture, Pato la jumla la mazao ya kilimo, hii inajumlisha pamoja mazao ya shambani na bustani tunawapita kwa mbali Sana, ukiacha chai, maua na parachichi, mazao yote yaliyobaki tunawapita, KM: kahawa, pamba, korosho, miti/mbao, karafuu, Cocoa, sunflowers, Pyrethrum, vyakula, matunda.........

Mazao yote ya mifugo na mifugo yenyewe ukiacha maziwa, tumewazidi kwa mbali Sana, uvuvi ndio huko hata hawajaribu kugusa. Walikua wanetuzidi katika sector ya viwanda, ila Sasa hivi ndio tunawapita kwa Kasi kubwa.
 
Unapigia mbuzi gitaa, atakuja akuambie chai na parachichi nazo zinahesabika kama magari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…