Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Nilidhani magari mengi yanaletwa na vessel ya aina hii ingawa makontena pia huwa yana magari ndani.

Je hiyo idadi ya makontena ni makontena yenye magari pia?

 
Acha kuwa pimbi kijana, it's true Kenya wako na bandari kubwa Mombasa port , but those containers do not mean cars.. kwanza magari yanayobebwa kwa idadi kubwa hayabebwi kwenye containers, sio kila discussion unataka kushinda acha uzombi πŸ‘‡Login β€’ Instagram. Idadi kubwa ya containers kenya inatokana na ukweli kwamba kenya inapokea mizigo mingi sana ya nchi jirani kuliko sisi.. wacha kuwa famba mzee
 
wewe ni kilaza kweli πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ pedestrian reasoning πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , get some lessons za economics kisha uje tujadiliane..., ama hifadhi hii post yako vizuri, utapata majibu mwafaka, hizi pambio mmeziimba nimewachoka sasa, "tuta" na "tuna" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., yaani na pia ndoto unaanika humu eti mnafanya.., malizeni hizi miradi zote ambazo sehemu fupi fupi zime wachukua mda mrefu sana., zingine hamjaanza pengine ni vitukuu watamalizisha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., exportation ya bidhaa gani? Uganda pia wameonja huo mchuzi wa exportation against Kenya, bidhaa hafifu hazina maisha, leo soko ipo kesho haipo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., nyambaff jipe shughli pale vijiweni, niondolee aibu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nilidhani magari mengi yanaletwa na vessel ya aina hii ingawa makontena pia huwa yana magari ndani.

Je hiyo idadi ya makontena ni makontena yenye magari pia?

View attachment 2086785

the guy is fighting every mean kuonekana hoja/point yake ni kweli.. lkn every point anayoileta anakutana na ukakasi[emoji23][emoji23].. sikuzote hoja moja inatosha kuonyesha ukweli wa jambo.. ukiona unaleta hoja nying ujue you fighting kugeuza uongo kuwa ukweli
 
Wenzako hawapendi ukweli kabisaa..., zoea kaka, ni vile walivyo, blind patriotism.,
 
Thanks bro......You are one level headed gentlemen
 
Ndugu usije ukajinganya mzee, nje ya hii JF hakuna mtz yupo interested na mambo ya kenya kabisa.
Maneno yako wacha pale vijiweni..., data inasema tofauti.., yaani in Tanzania Kenya ndio most country googled na pia East Africa, ila sisi tunaangalia SA.., hatuwezi angalia walio below us, la hasha.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Most googled African countries in other African countries
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa mimi na wewe nani yuko na blind patriotism.? Yani unashindwa kabisa kuona SGR to connect EA is very important in economic growth kuliko expressway.? Lakini kumbe ni wewe ulisema maneno haya πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilikua nimeaahau
Here I applaud Tz.., keep on, mkimaliza usisahau kunitag., napenda maendeleo anywhere in Africa., lakini hapa ndakunyorosha tu for the sake ya debate. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
ona sasa hizi fikra πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., unalazimisha unacho fikiria unaona uko mwerevu kuliko wachumi., wewe ni kilaza dogo., can't reason with you on level terms kabisaaa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , hifadhi hii post yako pia.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wazee wa data za kupika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ never in my life sijawahi skia mada za kenya Tz yani ata kwa bahati mbaya, watu wenu wanakesha kwenye kurasa za Tz kubeza na kudifu, sio siasa sio burudani wala chochote ni kujibizana tu na wabongo, fanya research wewe mwenyewe kwenye kurasa za Kenya kama kuna mtz analeta shobo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenifurahisha sana, sawa najua unapinga for the sake of battle, lakini unajua what's going on ..
 
picha kali
 
Kwani ni utafiti ulio fanywa na Kenya? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚, kila kitu ni ya makaratasi kisa inaumbua Tanzania, nyambaff πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Tuanzie hapa jamii forums Kenyan news section kwanza., hesabu uzi zilizofunguliwa na waTz na wachangiaji kwa nyuzi zote humu kati ya wakenya na watanzania.., kilaza wewe., mnakesha Kenyan section kwa wingi, na pia jamii forums inaweza kutumika kama dhibitisho la huo utafiti ambao ulikua kuhusu google search, so fyata πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…