Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuvaa mask haimaanishi kuwa kila mkenya akiyevaa kiatu cha 2021 kuwa kanunua kiatu kipya 2022,ila inaawekana kuna baadhi 2022 wamenunua viatu vipya na kuna wengi hawajanunua viatu vipya,

elewa hii statment
Idiocy on steroids πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , no relations whatsoever, a fallacious reasoning, potelea mbali mzee, u didn't get a thing πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
jamani naombeni ulinzi mm mujue mzigo wa kundi hili ninalo mm kama mwenyekiti nitaftieni ilinzi wa haraka sana nitapigwa 🀣
Utapigwa ama uta aibika zaidi ya kujifurahisha.., wewe ukweli haupendagi so usijitafutie pa kutokea πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sina uhakika Kama watavuka salama katika uchaguzi wa mwaka huu, vichwa vyao vimeshajazwa ujinga na viongozi wao wa makabila.
 
hii ndio phase one 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Zenu mlizokua nazo ziko wapi ata phase 0.001, jiangalie kwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hapa sasa ni mwendo wa kusonga mbele.., Tatu city pia is growing, in konza life is back..., Tz?? domo domo.., imekuuma lakini zoea, na bado kaka..., bigger gap loading πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yaani hajafanya kitu mombasa sio?
 
View attachment 2085857


MY TAKE
Dar hub is coming up nicely! After the 4 aircraft ordered are delivered, Mama Samia should try to have at least 3 dreamliners and 2 airbuses A220-300 ready for more African, European and North American routes!
i will add up another 3 to 4 q400s
Some regions are not yet served..
Musoma
Tanga
Pemba
Mafia
Kilwa
Shinyanga
Iringa which was stopped i think for airport rehab

Mafia ,Kilwa Pemba routes will spur up tourism..and also imrpove the economy in these regions

Shinyanga and Musoma are much needed business and tourism to .

Still in future .frequency will be added on Songea ,Mtwara, to 5x a week even daily

Also q400s can be used for regional EA cities like Goma, Kigali,Lilongwe ,Blantyre , Pemba(Moz) which hazijafikiwa badi
 
Kwani unafikiri hizo tano zilizopo zinatumika to the maximum? We unafikiri route ya London ikianza hizi ndege mbili (moja on order) za dreamliner zinazoenda South East Asia tayari zitatosha? Hebu leta maelezo maana abiria wa route ya London inayotarajiwa kuanzishwa watasafirishwa vipi? BTW hizo routes nyingi ulizo-mention hazina abiria wa kuhitaji q400 nyingine! Sidhani kama kuna yeyote katika hizo destinations itakayohitaji daily flight! BTW ATCL revamp plan haiko mbali na ninacho-suggest!
 
nchi haina amani nchi inajaa sijui inashida gani haya wakate sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utapigwa ama uta aibika zaidi ya kujifurahisha.., wewe ukweli haupendagi so usijitafutie pa kutokea πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 haya bana
 
Ntajibu kuhusu Banking...Nakumbuka Magu alishawai sema ..kuhusu alot of companies kutopitisha hela kwenye banks za Tz...ndo maana hata kwenye ma company mapya ya Madini..wamrbadilisha sheria na kuyaambia lazima yatumie bank za Tz...alot of companies to ..dont pay taxes ..some for political reasons..

Goverment haiko bado very strict na Tax na banking issues ..ndo maana alot of people walimchukia Magu.. ila ni wakati wa magu ambapo Tz iliweza kuanza ku double its Tax collection...meaning kuna ukiritimba mwing unafanyika
 
where is tatu city
where is konza city

remember ni over 10 yrs now??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…