Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda kalilie twitter uwaambie GoK nayo ijenge white house kwa pesa za ndani iachene na choo cha mkoloni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Danganyika mlijengewa bunge dodoma na wakenya na sasa ikulu mmecopy paste choo cha mjerumani kitu cha 1910 [emoji23]
 
not appealing
Isipokua mataga, wadanganyika wote hawaipendi hiyo ikulu ya dodoma. Wamecopy paste statehouse ya dar-is-a-slum ambayo ilijengwa 1910 na mjerumani. Magufuli hakua anapenda kufikiria.
 
Asubuhi nilikuwa najibizana na watu wanaokandia route ya Uvinza-Msongati-Gitega kwa maana hawajui nn kimelala chini ya ardhi ukizingatia refineries za nickel na cobalt zaja na Burundi washasaini mikataba ya mashirikiano katika uchimbaji na uchenjuaji! Huu ukanda mpaka DRC ni madini tuu..! Rwanda ikiwa tayari itakuja ijenge reli yake kwenda Isaka!
 
Haya sasa semeni tena.
Usisahau kupitia replies za kwenye hii tweet.

Huko tanganyika topic ya trade mlisoma shuleni kweli ............Soko ya Kenya inawalisha na kuwapa hela nzuri......so it's a win win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…