Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji16][emoji16][emoji16] Apo najua utabisha lakini ukitoka dar uko mikoani hali sio nzuri kabisa...wakenya wanamagari kutuzidi amini ivyo
Wenae, sasa kama Dar imeizidi Nairobi kwa magari, na nairobi ndio mji mkubwa Kenya na ndio wenye population kubwa unategemea mji gani Mwingine ukizingatia Kenya ni Nairobi tu? Unataka kusema counties nyingine za jangwani ndio zinazidi mikoa mingine ya Tanzania?
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Apo najua utabisha lakini ukitoka dar uko mikoani hali sio nzuri kabisa...wakenya wanamagari kutuzidi amini ivyo
wanmagari yako wapi bro au ww kuna maeneo tanzania hii hujafika πŸ˜†πŸ˜† mm kenya naijua na tanzania naijua na bahat nzuri nimezunguka sana kenya sijui kama tunaeza bishana kwa hilo

na kenya sehemu yenye population ya magari sana ni nairobi
mombasa yapo ila sio sana wao huko tuktuk ndio zimejazana
ukienda kisumu baiskeli ndio taxi zao

🀣🀣🀣🀣 uliza ujue bro
 
Dar haiwez zaidi nbo kwa magari sasa kila kitu unabisha tu ili iwe battle au
 
usimlaumu huenda bado kenya hajaijua vzr sana bro πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hio mwanza yenyewe sasa hvi kuna foleni balaa nilikua huko two weeks ago alaf pia angalia tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya
 
usimlaumu huenda bado kenya hajaijua vzr sana bro πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hio mwanza yenyewe sasa hvi kuna foleni balaa nilikua huko two weeks ago alaf pia angalia tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Malori tu yanayozomba mzigo kwenye bandari zetu na mabasi ya mikoani ni kama jumla ya magari ya counties 8 za kenya, huyu jamaa yenu vipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Gari za migodini anazijua?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Malori tu yanayozomba mzigo kwenye bandari zetu na mabasi ya mikoani ni kama jumla ya magari ya counties 8 za kenya, huyu jamaa yenu vipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Gari za migodini anazijua?
nenda nae taratibu tu bro ataelewa tu πŸ˜…πŸ˜…
 
Muwe mnaweka hata Kiambatanisho basi tujue mnavyohesabu.
Hii nimeokota Google huko wataalamu wanaweza Lete zile data zilizoenda shule.

Dar es salaam 2012:

View attachment 2084878


Nairobi 2030

View attachment 2084879
Kuna Watanzania wengine mama mtanzania baba mkenya, sasa hivi vitasa mnavyowapa lazima ziwaruke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Still kenya tuna magari mengi kushinda tz even though its expensive to buy, thats my point, kama unapinga angalia facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…