Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hujui unachoongea wewe, raila anajinadi kwa sera za magufuli ili kunyaland mumchague, Tanzania is ahead to kenya on this. hahahahhah. Njoo Tanzania uone wakenya walivyojazana hospitali za mipakani na Dar es salaam kusaka huduma bora
Wewe ndio taga la magufuli. Njoo Kenya uone hospitali ambayo rais magufuli alikufia
 
Raila au Ruto kua rais wa Kenya hainishtui ata kidogo. Tuna katiba murwa. Ukweli ni kwamba magufuli alikufia Nairobi Hospital. Kenya ndo kuna hospitali nzuri.
Katiba inayoruhusu watu kuchukua mali yote ya Kunyaland na kuwaacha 99% ya Wakenya wote kubaki maskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Yaani hapa huwezi tambua taka taka ni ipi na ipi sio takataka maana vyote ni Uchafu[emoji1787]. Hili lory linalobeba abiria kwa sura ya kulazimisha ya Bus hamna hata maji ya kumwagia litakate kidogo litofautiane na takataka ? Maji hamna? Mbona pabichi muda wote hapo chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Johannesburg wanafeli wapi hawa wakuu.

 
Unakuwaga na vimaneno flani nikiuvaa ukunya huwa vinachomaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hayo maji yakuosha magari wanatoa wapi ikiwa ikulu yenyewe haina maji kwa matumizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…