hapa basi itapita kila baada ya dakika tano in peak hours......tuliza kende tuwafunze jinsi ya kurun a successful brt. Huko kwenu brt ilishafeliWanasimama watu wangapi hapa, wawili au? Wakenya msijitutumue kushindana na Tz ktk kila kitu mtaumia, ona BRT station jinsi ilivyo, na vile mpo wengi cjui mtasimamaje hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781]View attachment 2080226
we ni bongolala hatuexpect ujue what a flyover is.....na imagine imejengwa kule kijijini wakati kwenu mji wa pili kama mwanza hauna interchange ata mojaKenge mwengine anaitwa Nicxie eti anaita hii ni flyover [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2080229
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KO
Ours is built compiling to 21st century standards. And then there's Tanzania with your stone age bridges
anadhani itakua kama ile yao unangoja masaa kadhaa bila basi kufikaKwani watu wangapi hungoja Kwa stage nkt? On the roads you find to a maximum of five people or so main stage ndo watu Ni wengi but along the road it's 3 to five people mulitaka wajenge warehouse ama?
Kuna Mwingine anatoa wosia kwa his owners huku 😂😂😂😂Punda wa watu anapiga kazi kwenye tope.
CONDOM university huezi linganisha na world class Kenyatta University.Aafu kuna wenye wanataka kulinganisha Kenyatta University na takataka za UDOM.
View attachment 2080276
View attachment 2080277
Na yenyewe ni sehemu ya deni la $billion 105?CONDOM university huezi linganisha na world class Kenyatta University.
Ila ujenzi wa Kenya ni Shoddy kichizi, hii barabara ilikua inajengwa je bila diversion road?
Nipewe uraiyaa pale Musoma na nipatiwe msichana wa KihayaWakunya lini mnampa Mwasiti uraia wa Tanzania maana ashatofautiana na nyie waimba taarabu wa "Uhuru is overworking" [emoji23][emoji23][emoji23]
Marais wengine walijenga km ngapi? It seems they didn't do anything unless you more than 30k km.The length of tarmacked roads President Uhuru Kenyatta has built since he came into power is more than what Tanzania has tarmacked since the world began.
View attachment 2079924