Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nna shindwa sana na wewe mpunga. iweje hasa una expect nairobi sawa tu na beijing iliomo vizuri sana ndani ya nchi kavu iwe na bridges.. bridges ya nn.? kila muundo msingi huku ina sababu na sio monument ama maridadi
So Kenya nzima haiitaji bridges [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa ni waongo sn, kidaraja wamekipiga picha upande upande zen wanaongopa ni flyover alafu wasenge wenzie wamekaa kimya tu mbwa hawa.
 
Kwani muna barabara moja tu?
 
😂😂😂 Ajabu kweli, station mbili.? Ndio BRT au.? buses ziko wapi.? BRT stands for B=BUS R=Rapid T=transit.. ila wewe umenionyesha vituo viwili then una claim kwamba mko na BRT 😂😂 HEB osha matako ukalale uko
Nyinyi sgr nionyeshe trains
 
Dah Haina kitu kuingine isipokua this? Day in day out this all you guys be posting everybody no new thing being developed no new project? Tumechoka Na saaame saaame pictures style up kidogo no competition here
 
Jamaa ni waongo sn, kidaraja wamekipiga picha upande upande zen wanaongopa ni flyover alafu wasenge wenzie wamekaa kimya tu mbwa hawa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Yaani ndio hivyo hawa mbwa walivyo, wapo kama nyumbu mwenzao akiweka ushubwada wanasapoti wote hata kama ni fix tofauti na sisi, uweke kitu sio wabongo lazima wakunange ila wao full uzumbukuku

Hawawezi kuhoji ndio maana kunyata kakopa $106B lakini hakuna wa kuhoji, kawadanganya kajenga kilometers 10k za lami lakini nusu ya counties zao hazifikiki kwa lami 🚮🚮🚮🚮🤣
 
Lami Gani Tanzania Ina njia za udongo nyingi watch that video utajua Kenya Na Tanzania tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…